Recent content by slimhamimu

  1. S

    Ninauza viroba

    Unapatikana wapi?
  2. S

    Tetesi: Secretary anasema haya kwa kunong’ona kwamba Mkeka

    kumbe Rais kashatoka Katavi. Mkuu hongera kwa kuwa jikoni.
  3. S

    Mifuko ya kuhifadhia nafaka bei ya kutupa 500

    Mkuu vipi mifuko bado ipo??
  4. S

    Mh. Asunga funga na hawa Makada wa CCM wamehujumu Geita SACCOS LTD

    Dah! Huku Ikwiriri ni maumivu tu majina mengi ya wakulima wa korosho hayakutumwa kwa ajili ya malipo . Matokeo yake hata kumi hatujapata hadi sasa. Viongozi wa chama cha ushirika na masoko Ikwiriri wanatuzungusha tu kwa majibu mepesi. Tumepeleka shauri letu TAKUKURU makao makuu ya wilaya napo...
  5. S

    Tafakuri ya FaizaFoxy 2: Korosho

    We mama muogope Mungu Sogea tu hapo Mkuranga,Kibiti,Ikwilili halafu uongee hizo kauli zako za dharau juu ya wasiolipwa pesa zao uone kama utabaki salama. Watu hawajui hatima ya mashamba,sio palizi sio dawa vyote ni mtihani kwao na muda ndio huu umewadia. Unapotetea jambo liweke katika muktadha...
  6. S

    Kupotea kwa samaki aina ya kibua mtaani

    Tatizo ni kodi iliyo pandishwa kwa waliokuwa wanaingiza samaki kutoka nje hivyo wengine kusitisha kuleta.
  7. S

    Bei ya pamba inaumiza

    Ni vizuri mkachukua hata hicho kidogo,kuna wenzenu huku wameshapata magonjwa ya moyo na kisukari na wengine tumeshazika sababu ya kupigwa za uso kwenye korosho.
  8. S

    KOROSHO: Wakulima hawajalipwa mpaka huu uchao, ni ngonjera ngonjera tu

    Kilichobakia ni kuchoma mkaa tu kwa hii mikorosho kwani sioni mwelekeo wa hili zao tena.
  9. S

    Tunakaribia mwezi Mei na bado miezi 4 wakulima waanze kuvuna korosho mpya ya msimu 2018/2019

    Kwa maigizo serikali hii imeshindikana, kwahiyo wewe usihofu zitahifadhiwa hata kwenye mahandaki ya jeshi.
  10. S

    Serikali: Hatununui korosho kwa Tsh.3,300, hazina ubora...

    4180-2600=1580 Huu ni uhuni wa hali ya juu. Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. S

    KOROSHO NGOMA NZITO: Wakulima Watinga ofisini kwa Mkuu wa Wilaya kudai malipo yao

    Pwani hadi mwezi wa nne ndio uhakiki utakuja,kwa sasa bado uhakiki unaendelea mikoa ya kusini. Hali ni tete. Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. S

    Korosho: Wakulima mkoani Pwani wailalamikia serikali kuhifadhi korosho zao kwenye mabanda ya bata na kuku

    Kibiti wametakiwa kutoa shilingi 20 kwa kila kilo moja ya korosho ambazo wakulima wamepeleka kupitia vyama vyao vya msingi kwa ajili ya kuzisafirisha kwenda Dar. Haya ni mateso kwa mkulima wa korosho ambaye hajui kesho atakula nini lakini bado anachangishwa hela ya kusafirisha korosho. Watu...
  13. S

    Ziara ya Xi Jinping Afrika. Hatatembelea Tanzania. Je, nchi yetu imepoteza mvuto na ushawishi?

    Ni vizuri asije kabisa aishiehukohuko maana deni tulilonalo si haba, na tunakoelekea Africa itakuwa ni koloni la China.
  14. S

    Is Tanzania a primitive State?

    Kuna vitu vinafanywa awamu hii utadhani nchi ndio inapata uhuru dah !!! Mungu tusaidie.
Back
Top Bottom