Hivi na malima kweli ni mtu wa kufikirika??? Kwa lipi pale wizarani achilia mbali upoyevi mkubwa wa kodi zetu na madudu yake ya kuibiwa ak47 hotelini na vimwana??? Tujadili mambo ya msingi
Kula tano mkuu..wenye fani zao wapo wanakuja matapeli kina mwaka wanavuna mamilioni kwa masikini...nilishapost hapa siku za nyuma kwamba zama za ujanja ujanja na utapeli zimefikia tamati sasa, kwa aina ya serikali ya jpm bila kueleweka utaomba nauli ya kurudi kijijini
Mwaka apumzishwe pamojana matapeli wenzakekama sigwa clinic, wanadanganya watu mchana kweupe. Hizo dawa za mwaka hazijawahi kuthibitishwa na tfda, pia anavaa stethescope na kutumia vitabu vya gynaecology kujitangaza na hajawahi kuingia medical school ajue art ya stethescope. its pathetic kwa...
Mwaka ni wa kufungiwa tu, anavaa stethescope hata heart sounds hajui zikoje, nilimsikia siku moja akisema wanawake wanaovaa high heeels zinasababisha kizazi kugeuka na hivyo hawatapata ujauzito nikamshangaa hata anatomy ya cervix na uterus haijui na wananchi wanamezeshwa matango pori huku wizara...
Kwa kipindi cha mwezi mmoja tu tumejionea na kusikia tuhuma lukuki za viongozi wateule wa jk kuhusishwa na rushwa, kuanzia bandarini, Tra, uda, escrow na sasa stanbic na huyu harry kitilya kamishana mkuu mstaafu wa tra wa dola mil 6 za udalali wa mkopo kwa serikali ya tz? tutarajie nn huko...
Tangu JPM aingie madarakani mengi tumeyasikia, ila kwa wale wajanja wajanja misheni town na wapiga dili mjini sasa watatafuta njia ya kirudi kijijini wenyewe. Yale mazoea kwa jk sasa yanaelekea kwisha kabisa.
Tatizo kubwa ni kwamba hatuelezi ukweli ila siasa zinechukua nafasi....serikali haitoi pesa kwa wakati kwa hospitali zake so haziwezi kujiendesha vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.