Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,687
- 239,241
Sijui yuko wapi huyu jamaa ? Kwa mara ya mwisho nilipata taarifa kwamba ameangushwa kwenye kura za maoni za ubunge kwa tiketi ya ccm , ni pigo kubwa kwa wizara ya fedha , nilifurahishwa sana kwa namna alivyokuwa anajibu maswali ya wabunge , hasa kuhusiana na mashine za EFD'S.