Magufuli..mwisho wa ujanja na misheni town

slimdr

Member
Aug 14, 2015
31
4
Tangu JPM aingie madarakani mengi tumeyasikia, ila kwa wale wajanja wajanja misheni town na wapiga dili mjini sasa watatafuta njia ya kirudi kijijini wenyewe. Yale mazoea kwa jk sasa yanaelekea kwisha kabisa.
 
nimeambiwa hata unga umepanda sana kwa sababu mabosi wamewaamuru mapunda wasisafiri kuja TZ kwani bado hawajamsoma MAGUFULI
 
Hali mbaya mkuu kwa wale wajanja wajanja na mabishoo misheni town kushneeee
 
Back
Top Bottom