Recent content by Slim dady

  1. Slim dady

    Mkate wa Tshs. 1,000 sasa hivi unauzwa Tshs. 1,500

    unashangaa nini kwani bei huwa zinashuka?
  2. Slim dady

    Sina neno

    😂😂😂😂
  3. Slim dady

    Sina neno

    uwe unamiminia kwenye glass
  4. Slim dady

    Ndugu yangu amenipa sharti la kuacha kazi ya kuajiriwa ili anipe mtaji wa Tshs 200M nianze shughuli yangu mwenyewe lakini sijui nifanye shughuli gani!

    Tumia akili, badala ufocus kwenye biashara yenye thamani ya 200m uhangaike na kazi ya 1.5m ambayo inakula zaidi ya masaa 8 ya siku nzima
  5. Slim dady

    Kwa shabiki wa Simba ni mchezaji gani umuelewi mpaka muda huu, huduma yake haikuridhishi kabisa?

    Wajinga pia, mugalu msimu ulioisha alikuwa ni miongoni mwa top score msimu huu sijamuona itakuwa sababu ya majeruhi
  6. Slim dady

    Ipi gari bomba kati ya Prado, Kluger na Suzuki Grand Escudo?

    Grand vitara, Escudo yote ni aina ya magari ya kampuni ya Suzuki ya Japan
  7. Slim dady

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Hongera 😂
  8. Slim dady

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    🤣🤣 Nitakutafuta Saa 05:00
  9. Slim dady

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Mwisho wa mchezo Sisi 0 Nyie 0
  10. Slim dady

    VAR ni kituko kuliko akina Kambuzi

    Kaangalie waliochezesha fainali za uefa 2015 euro 2016 world cup 2010 ni kina nani achana na maneno ya kibanda umiza wewe kambuzi
  11. Slim dady

    VAR ni kituko kuliko akina Kambuzi

    We kweli kambuzi kafwatilie mashindano ya ulaya uangalie waamuzi wanaochezesh mfano tu juzi hapo uefq super cup kaangalie nani kachezesha
  12. Slim dady

    Kanitumia nauli, sijaenda

    Anatia shaka
Back
Top Bottom