Ipi gari bomba kati ya Prado, Kluger na Suzuki Grand Escudo?

Vipi hujajua kwanini mkuu, nani anataka gari la Diesel sikuhizi ? Unless kama unatafuta gari la kwenda kulimia kijijini hapo sawa...!

Binafsi sijawahi endesha gari ya diesel, ila huwa naona kuna watu wana hype na hizo gari.
Gari ya diesel ni nzuri sana haswa engine zake hua hazisumbui mara kwa mara kulinganisha gari ya petrol pia utumiaji wake wa mafuta ni mdogo kulinganisha na petrol' kwa gari ya kutembelea ya diesel sidhani kama utaenda garage kwa magonjwa ya engine labda kama umeiua mwenyewe kwa uzembe wa servise ama maji au utie chumvi kwenye engine
 
umesahau kimoja mkuu, escudo ni cc 2000 wakati prado ni kati ya 2400 hadi 4000.

halafu hio prado hujasema model ipi zipo nyingi sana.

though kwa offroading prado iko vizuri maana iko juu, japo pia zile zx, landcruiser 2, pamoja na ile model ya prado za mwanzo ni very easy ku overturn kwenye speed ama kwenye kona.
Hakika naungana nawe Prado zx hazitaki manjonjo linakupiga chini fasta
 
Hili la prado kuchomoka tairi na ball joints likoje wakuu? Halina tiba?
Tiba ni likichomoka unarudishia...hakuna tiba nyingine..

Tiba kamili ni watengenezaji walipogundua hiyo weakness, wakaboresha kwa kutoa new modal ya hiyo unayoizungumzia...ina maana kwenye new model kuna mambo mengi ya kimakanika yamerekebishwa
 
Hili la prado kuchomoka tairi na ball joints likoje wakuu? Halina tiba?
Fanya services ya bush na balljoint mfumo wote wa chini kwa wakati utasikia tu hizo story

20211017_111500.jpg
 
Back
Top Bottom