Recent content by sley97

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji mbegu za mchongoma au wapi nitapata miche yake?

    Sawa ndug hii ndo kwanza nikuskie ww leo ila naitaka ivo ivo me
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji mbegu za mchongoma au wapi nitapata miche yake?

    Habar zenu wadau Wapi nitapata hizo mbegu au miche ya mchongoma kwa ajili ya kupanda kwenye kiwanja changu nataka niweke fance ya mti iyo iwe kama bustani kiwanja kimeshaanza msingi nataka ata nikihamia iwe tayar iyo bustan imeshakuwa kubwa. Mnisamehe kwa uwandishi mbovu sio mzuri sana wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kudhibiti wasiwasi

    Kama umesharidhika na nafas uliyonayo sio mbaya kuanika life style yako ila kama ni mtu ambae hujaridhika na nafas uliyonayo inahitajika uishi maisha ya private ili ufikiriwe na hao watu wa kitengo hawamo umo maofisi kwa ajili ya kuchunga tabia za watu wamo kwa ajili ya kuchunguz nan anafaa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kudhibiti wasiwasi

    Kwanza kila ofisi wanakuwa wamo kwa kazi maalum pia unatakiwa maisha yako yawe private unapofanya mambo kwa kujichoresha inakufanya hata usifikiriwe kbs kweny uteuzi wa apo ofisin kwenu coz tyr wanakua wanajua life style yako kuna watu wanakosa teuzi coz wanajulikan ni wazinzi ama walevi N.K...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    B64C698 BETPAWA
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    C929689 Betpawa treni la team 22 odd 15
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    1A4AF99 Betpawa zinaanza mda huu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana nilirudi ulingoni baada ya kupumzika kwa mda mrefu sema ndo ivo sikuwa na mtaji wa maana nitaendelea kutupia code apa kama kawaida.
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasikitika sana

    Daah pole sana Dada unapitia magum mno ila ucjl kila kitu kitakua sw
  10. S

    JamiiForums Tanzania Huu Mgogoro na mzee unanipa wakati mgumu sana, Naombeni nanyi Mnishauri kama mmewahi kutana na changamoto kama hizi maishani

    😂😂😂 Watu mnapata wapi mda wa kuandika utumbo wote huu ?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Hospitali nzuri au Daktari mzuri wa mambo ya Afya ya uzazi

    Ajaribu kutumia dawa za mitishamba kwa watu tofaut huenda akafanikiwa. Kuna mtu namjua amesaidika na izo izo dawa za mitishamba uzur alifanya vipimo hospt akapat majib na alipoenda kufanyiwa dawa za mitishamba aliambiwa ana shida ile ile aliyoambiwa hospt kuna watu hawabahatishi kaz zao...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Hospitali nzuri au Daktari mzuri wa mambo ya Afya ya uzazi

    Huyo mke wake akifanya vipimo anambiwaje hana shida yoyote au?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kwenye Interview ukifika utapewa tablet yenye mfumo wa sensa itakuta ujaze kwenye uwo mfumo utanza majina yako kwa heruf kubwa na utapewa dakik zisizozidi 2 Maswal utayokutana nayo ni kama vile :~ Nini maana ya sensa ? Sensa ina umuhim gan? Sensa ya mwish ilifanyika mwaka gan? Bila kusahau...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Sw ila ushindani ni mkubwaa mnooo Bila ya connection hatoboi mtu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Sw ila ushindani ni mkubwaa mnooo
Back
Top Bottom