Recent content by Sleeping Giant

  1. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Je, Matibabu ya saratani na kisukari kwa tiba mbadala ni uhalisia?

    kwenye hizi good samaritan kuna kifaa chao cha kushika mkononi wanadai kinapima mwili mzima kitu ambacho hakipo duniani kinachoshangaza wadau wameteka sawa wazazi wetu wanawazungusha kwa magonjwa wasiyoweza kutibu kuja kwenda hospitali ugonjwa ushafika kwenye terminal stage
  2. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Je, Matibabu ya saratani na kisukari kwa tiba mbadala ni uhalisia?

    hawa wahuni nakumbuka nlpokuwa form six bukoba miaka hiyo nkatembelea samaritan kutibiwa nliishia kushikishwa kifaa mkonon eti kinapima magonjwa yote nkaishia kuambiwa nna vidonda vya tumbo nkapewa majivu eti niwe nachanganya na maji nlivorudi nyumban bi mkubwa akanikataza lakin hadi leo sina...
  3. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

    achana na mawazo ya wenye wivu shemeji yako anakutakia mema we oa kaishi nae
  4. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni ruksa kuibadili?

    uzi bila picha ni utopolo
  5. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Pastor agoma kutembea kwa miguu akidai ardhi ni ya dhambi

    mawazo ya pastor yaheshimiwe tafadhali😂😂
  6. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

    Asanteni kwa mliofunguka kutoa ushauri wenu kwangu nitayafanyia kazi sana wakuu
  7. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

    Ntajirekebisha maana kwa mbali nakiona unachokisema
  8. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

    Sawa mkuu Asante
  9. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

    Asante kwa kunielimisha mkuu
  10. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

    Ntaanza upya njia nloiacha
  11. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

    Du A Asante mkuu
  12. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

    Asante mkuu
  13. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

    Wakuu mimi ni 26 Me, mzaliwa wa kanda ya ziwa, taaluma yangu Medical doctor degree, nimeletwa na mambo mawili; Kwanza Naota nakula sana mara nyingi ni wali na matunda na muda mwingine unajaribu kukataa kabisa ila kuna mtu anakubembeleza. Hii ya leo nimeenda sokoni nikakuta matunda mfano wa...
  14. Sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuwataja watu wa ovyo sana Mwaka 2022. Wajirekebishe

    Umemsahau yule jamaa mwenye sifa bil lugano 😀😀
Back
Top Bottom