wewe ndio unajua mambo binafsi ni mwanvuli wa kumkinga bwana wenu clinton alipata kashfa ya kutembea na sekretari wake kulingana na hadhi yake aliponea chupuchupu ang'olewe kiongozi ni kioo aijalishi kafanya nini nje ya ofisi,kukatisha ziara ya mbunge kiwa ziara ya kazi na kumwita wajumuike kwa...
Pole yeriko kwanini ztt asingeitwa kuchukua faili lake?inaonekana nia ilikua asipee ili akose nguvu ya kukata rufaa na slaa si ataki kuitisha barza kuu?kwa sasa mnajikosha
zitto ni taasisi wanafaya mkosa makubwa kumchukulia kama mtu mmoja na kuchukua maamuzi ya hovyo kama anataka kukigawa chama wamfukuze ndio utakua mwamzo wa mwisho wa chama imara cha upinzani
Unakosea sana kumlinganisha zitt nzt na shonza na mwampamba zito ni ubavu cdm,mnasema alikuwa wapi kutoa shutuma zidi ya ufisadi wa mbowe lia hamuhoji tundu alikua wapi hadi jana aliporusha kombora kwa zitto kuwa kahongwa magari na mkono?zitt asingesema hadi kachokonolewa ss tunajua pumba na...
zitto hamumuwezi hakutaka kuyaanika machafu ya mbowe,slaa alikua anawahehim sasa wao kupitia mawakala njaa,tundu wanamchafua ili anuke vipi yeye asijibu?tena wakamilishe kumfukuza atatoa mengi zaidi ambayo mtashangaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.