Recent content by Slaa wa Dar

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ajali yaua watatu Bunju B, Dar

    Wananchi hiyo gari hamjaitendea haki ila muna hasira za kijinga kwasababu mngekuwa na hasira za kweli wezi wa escro tusingekuwa nao duniani.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Rorya akamatwa na Meno ya Tembo

    Kweli hawa panya wamehamua kuhakikisha waiachapo hii nchi iwe hamna chochote.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

    Wabunge msitetereke kuweni pamoja na wananchi wanaumia sana.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko! Serikali, CCM wahamia Dodoma. Pinda, Kagasheki watoleana uvivu

    Inasikitisha sana kuona Serekali ya Ccm ipo kimya bila kuchukua hatua yoyote kwa wale wanaotuhumiwa badala yake wanaweka vikao vya kutafuta ni jinsi gani ya kuwanusuru Wezi wa IPTL.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Moshi Mjini ni kielelezo cha kuwa 'CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo

    Mpeni haki yake Ndesa kwa ufanic wa kaz.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Face To Face With Mhe. Benard Camilius Membe!. "Sipati Usingizi!"

    ccm majangq
Back
Top Bottom