Recent content by skymen

  1. skymen

    Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

    Sijaelewa ujue, hapa ni matangazo ya biashara au? Samahan lakin napita tu.
  2. skymen

    HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

    Kama wale polisi jamii? Umetisha kilaza!
  3. skymen

    LOVE STORY --- jukwaa huru!

    Wangu alikua anajiuza mi nikawa mteja wake niliemvutia kuliko wote kwa sasa ni wife mtulivu sana na kanizalia watoto wawili
  4. skymen

    Question of the Day........?

    Yes but isimaanishe nitafumbia macho sex ladies out there!
  5. skymen

    Nampenda sana ila sina hamu ya kufanyanae sex

    Huyo ni boyfriend wako wa ngapi? Kama wa kwanza try another place kama we ni mzoefu bas unajua mautamu ulipata wapi au tatizo lako mwenyewe so iz too simple tafuta source of problm first.
  6. skymen

    Mtwara leo watakataa gesi isitoke kesho watakataa Watanzania wanufaike na gesi, hatari iko mbele

    Leo hii Russia inaongoza kwa kuuza gesi Europe na wanasafirisha kupitia mabomba wangekua na mawazo kama yetu si wangeuza umeme? acheni ujinga wabongo mnapinga mambo ya kimaendeleo ki ushabik wa kipuuz.
  7. skymen

    Mtwara leo watakataa gesi isitoke kesho watakataa Watanzania wanufaike na gesi, hatari iko mbele

    Sasa mi sielewi wanavyosema gesi ibaki mtwara wakati gesi ni nishati inabidi ifuate watumiaji kwenye miji mikubwa. Hata huko Moscow - Russia hakuna visima vya gesi, inatoka mikoa ya mbali sana (Sibir) inakwenda mjini kwenye matumiz so watu wasibishe vitu wasivyovijua
Back
Top Bottom