Recent content by sky black

  1. sky black

    Mauaji ya kupanga na dhana nadharia za kijasusi

    Mshana umenikumbusha mbali sana mwaka 1996 mi nilikuwa mmoja Wa shabiki mkubwa sana Wa marehemu 2pac yani tukio la lisu na 2pac yamefanana ukiangalia matundu ya risasi kwenye gari la lisu na 2pac ni sawa sawa ni ngumu kupona ila kiukweli lisu mungu alimuwekea mkono ningumu kuamini kama mtu...
  2. sky black

    Kwanini Mhe. Mbowe aliamua kubaki Dodoma siku Mhe. Lissu alipopigwa risasi wakati alitakiwa kuwepo Dar es Salaam

    Ulichokiandika hakina mashiko yoyote jaribu kutunga story nyingine mpendwa jaribu kufanya utafiti riport zote mboe aliuthuria alafu uje hapa ukanushe ulichokiandika Sent using Jamii Forums mobile app
  3. sky black

    Hawawaamini Madaktari wetu, wanataka ushirikiano na Balozi zetu!

    Acheni upumbavu nyie watu walichokisema ndoicho mlichokiandika au mnataka kupotosha umaa wangekuwa hawaamini madaktari wapa tokea siku ya tukio wasingekubali apewe huduma ya kwanza na madaktari wahapa wamefanya ivyo ilikumuacha apumzike na kupunguza idadi ya watu watakaotaka kumuona maana hata...
  4. sky black

    Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Inategemea jamani mbona 2pac alipigwa risasi nane alafu ukiangalia tukio ni kama hilo lakini sugar night hakupata risasi hata moja na walikuwa wawili Sent using Jamii Forums mobile app
  5. sky black

    Uhuru Kenyatta: Hospitali aliyolazwa Lissu huko Nairobi kuongezewa ulinzi!

    Ndomnavyo tudanganya mtawadanganya wajinga tu kwataarifa yenu tunaona na tunaskia ndugu polee Sent using Jamii Forums mobile app
  6. sky black

    Uhuru Kenyatta: Hospitali aliyolazwa Lissu huko Nairobi kuongezewa ulinzi!

    Povu linakutoka poleee sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. sky black

    Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

    Unafki sio mzuri kiongozi ukweli mchungu lazma ujaribu kuutema tu lakini fundo hata moja utalimeza naona umekunja sura kweli kweli polee sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. sky black

    Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

    Mnajaribu kuhamasisha watu wasichangie kwataarifa yenu tutachanga tu hata zikiliwa sio tatizo na wala haituumi tumeamua kuchanga wenyewe kwa hiari yetu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. sky black

    Mitazamo hii ya Watanzania juu yenu CHADEMA ni hatari sana

    Msitufanye hatuna akili eti watanzania wanaiusisha chadema na matukio sema sisi ccm tunaeneza proganda chafu kuihusisha chadema na huo ujinga na uwongezee ccm tuna waaminisha watu uwongo ilichadema kionekane chama cha wauaji na watekaji alafu ulivyo huna akili unasahau baathi ya matukio...
  10. sky black

    Ujumbe mzito kwa taifa langu juu ya Tundu Lissu shujaa wetu

    Machozi yamenitoka leo ila wajue tu ipo watatupiga risasi Wa tz wote Sent using Jamii Forums mobile app
  11. sky black

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Dah! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. sky black

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Unajiskiaje kutunga habari za uwongo tuna jua lengo lenu hampendi kuskia ukweli mpotayari hata kumwaga damu mlivyotega bomu kwenye zile ofisi za mawakiki na kuteka walinzi pia walikuwa ni hao wazungu Wa migodini? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. sky black

    Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe ashikiliwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar kwa madai ya utapeli

    Mfalme juhaa ilikuwa riwaya nzuri sana tulisoma form 3 ilikuwa namaana sana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. sky black

    Waziri Kairuki atoa tamko nyongeza ya mshahara

    Uwongo mtupu izo story tu za kufraisha genge Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom