Recent content by Skrinc

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Rais Samia hupendwi na Wananchi wengi

    ashakuambia yeye ni mtu wa field Tanzania hatuna documented detail
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuua huyu mdudu

    ukiona wanawaka ujue wewe kufa kupo karibu ndugu yangu😄😄
  3. S

    JamiiForums Tanzania Amesema anaenda kusalimia ndugu, baada ya kufika hapokei simu

    Au atakua anaangalia marudio ya Othman.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    leah2 unaweza kuwa sahihi au sio sahihi. Na pia mwanaume anaweza kuwa sahihi au sio sahihi pia. Tuangalia machache kidogo, Moja, inaonesha ulikua hujari ndoa yako na mdogo wako akaonekana kumjali sana mumeo kiasi cha kuamua kuzaa kuhamisha upendo kwenda kwake. Na hii inaweza kujionesha kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ninyi wanawake, kwenye ndoa huwa mnakimbilia nini?

    Wanawake wanapenda kuolewa lakini kiundani hawajui nini wanaenda kukutana nacho. Pia ni vile hawaangaliagi ya mbele
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

    JPM alianza na kazi hii ya kuleta ndege na alituambiaga kuwa zinatengeneza profit kubwa sana tu. Alipokufa report ya CAG ilionesha shirika la ndege lilikuwa limerecord loss kubwa sana na haijawahi make hata profit. My question is, Kama ATCL ili record loss kubwa kama ilivoelezwa, ndege...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake mkipata wapenzi wapya punguzeni "show off" kwenye "status za WhatsApp"

    Si haukuwa na smart na network kubwa
Back
Top Bottom