Vijiweni wanasema kulia ni chanya na kushoto ni hasi, hebu wasomi mtujuze je hayo yasemwayo vijiweni yamo kwenye vitabu huko mashuleni?ati ndio maana moyo wa binaadam uko upande wa kushoto!
Na wale machangudoa na mashoga wenye madigrii kumikumi wao wana nini vichwani? Hawako uchi vichwani mwao? Huyo alieishia form 4 ameajiri wasomi watatu, hao wenye madigrii wamekua mashoga na machangudoa.wepi wanahitaji maombezi ya mlima wa moto?
Na unapojiajiri kwa dhati, unaweza ukapata mafanikio mazuri ikapelekea wewe kuajiri watu wenye taaluma zao kuja kukufanyia kazi zako.Hio ndio inaitwa kuelimika.sio hayo makaratasi unayozunguuka nayo.si unajua kisa alichokutananacho founder wa whatsapp alipoenda kuomba kazi facebook? CHAKARIKA.
See
Mashangingi yatanunuliwa tu.huyo Magufuli kaingia ikulu kuna mambo baada kuingia ndio katambua kumbe kuna mengine hayagusiki, mpeni muda muombe uhai tu mtayaona.mnazijua kura tatu kabla kupewa uhuru ziliwashirikisha akina nani hapa Tanganyika? Na uhuru huwa hupewi unaupigania.jiulizeni...
Inategemea kesi iliyompeleka jela.kama alitenda kosa kweli au alisingiziwa.hivyo ushauri wangu unaegemea hapo, kwanza nijue kabla ya kwenda jela alikua mtu wa namna gani,yaani tabia na mienendo yake ni muhimu ili ujue ushauri gani unampa na yeye ni mtu aina gani.isije kuwa unamsifia shehe, utamu...
Ktk mada yako hii uliyoileta hapa majilisi.hesabu maneno mangapi umetumia yenye asili ya kicongo, kibantu au kiarabu na kwa nini kila sentensi moja au mbili haitakamilika bila kutumia neno lenye asili ya lugha hio, utakua umepata jibu ni lugha gani imeleta kiswahili.
Hio kesho hao maafisa wakiamka na malaria kwa sababu ya mmbu wa selo na wakaomba kupelekwa hospital cjui ndio huo mkutano utaahirishwa mpaka lini? Atakua amemaliza tatizo au ndio atakua amelizidisha? Wakitoka hospital na mapumziko ya ugonjwa ni haki yao.naona huo mkutano wake utafanyika baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.