Recent content by Skillseeker

  1. Skillseeker

    Maduka ya camera dar yako sehemu gani?

    Habari wanaJF, Natafuta camera yenye at least 30x optical zoom na 20mp. Iwe na rechargable battery. Ni maduka gani kwa dar es salaam ambayo yanabei nzuri na camera nyingi ili iwe rahisi kuchagua?
  2. Skillseeker

    Bei ya iphone 4 & 5

    Habari za leo wanaJF, Ningependa kujua bei ya iphone 4, 4s na 5 kwa tanzania. Nahitaji kujua bei zake zikiwa mpya na used in a good condition. asanteni
  3. Skillseeker

    what are the cheapest but good universities for networking and information security?

    Habari za kwenu, Naombeni kujua ni vyuo gani vizuri marekani (sio lazima viwe on top) katika kufundisha mambo ya networking and information security kwa level ya masters. Pia viwe kati ya vyuo vyenye bei nafuu sana ndani ya marekani katika hizo course. Ningependa kujua pia kama wanatoa...
  4. Skillseeker

    Help;how to uninstall password protected program?..

    habari za kwenu wanaJF, Naombeni mnisaidie kujua ni jinsi gani nitaweza ku-uninstall program yangu kwenye windows7 ambayo iko password protected. Program niliyonayo ninayotaka kuitoa inaitwa "USB Block" niliinstall zamani kidogo ili kuitest nikaiwekea na password..sasa kwakuwa siitumii nataka...
  5. Skillseeker

    nahitaji kujua bei ya iphone 4 (brand new and used) kwa hapa dar..

    habari zenu wakuu, naombeni mnijuze bei ya iphone 4 used na brand new kwa hapa dar.. pia naomba mnieleze wapi naweza kuzipata kwa bei nafuu (used and brand new).. natanguliza shukrani
  6. Skillseeker

    what are the cheapest but good universities for networking and information security?

    Habari za kwenu, Naombeni kujua ni vyuo gani vizuri marekani (sio lazima viwe on top) katika kufundisha mambo ya networking and information security kwa level ya masters. Pia viwe kati ya vyuo vyenye bei nafuu sana ndani ya marekani katika hizo course. Ningependa kujua pia kama wanatoa...
  7. Skillseeker

    My personal five favourite free hosting WEBSITE accounts

    asante...wacha tujifunze taratibu...
  8. Skillseeker

    How to scan for Free Open Ports in Any ISP for Free Internet

    Naomba nieleweshwe kuhusu haya mambo nitakayoorodhesha hapa.. 1.basi la kabang 2.basi la kijani 3.tabsamu 4.basi jekundu sielewi haya mabasi ni nini?...
  9. Skillseeker

    Mwenye uelewa na huu mtandao unaitwa telexfree

    telexfree bado inaoperate....unaweza kujiunga kwa $400 , $1500 au kwa $16500... i'll explain more when i get time..sasa hivi napita tu
  10. Skillseeker

    Wanaotafuta nyumba za kupanga

    umezungumzia kupanga....vipi za kununua?..bei zake zikoje?
  11. Skillseeker

    Wakuu Msaada wa ku unlock iphone 4s

    wapi gevey chips zinapopatikanika kwa dar?.. na ni shilingi ngapi?..
Back
Top Bottom