Mwenye uelewa na huu mtandao unaitwa telexfree

jonas2011

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
300
111
jaman naomba kujuzwa kuhusu hawa jamaa wanaitwa telexfree how do they operate and are they real...au ndo mambo ya deci...naomba kuwasilisha
 
Wenzako tunajipigia mahela kwasasa na kupiga simu bure nje na ndani ya nchi kwa dola 5 tu kwa mwezi mzima.

karibu telexfree ulimwengu wa online Makerting.. watu hatuingii kuwajazia trafic online bure wenzetu kisha wao kupata matangazo na kulipwa.telexfree inatulipa kiukweli kabisa.
 
unajiungaje tafadhali.
 
how does it operate?
 
Naskia telexfree...imezngua.nw....imefungiwa....bt aint sure..cz nlikuw nafany uyafit wa hyo ktu na hayo ndo majib nliyo pata.rememb aint sure
 
telexfree bado inaoperate....unaweza kujiunga kwa $400 , $1500 au kwa $16500...
i'll explain more when i get time..sasa hivi napita tu
 
hii sio sehemu ya wavuta bangi so tumia busara kuwarekebisha watu na sio lugha za dharau , na matusi...jiheshimu tu kidgo
utaheshimiwa
 
unajiunga kwa kuanzia dollar 400 ($400) ambayo ni kama tshs 646,800/= kwa mwaka na unapewa kazi ya kutuma kuanzia tangazo moja kwa siku, na kila tangazo unalipwa kuanzia $20. na endapo hutatuma tangazo moja tu kwa wiki, wiki hiyo yote hutalipwa kitu(adhabu). N ani kama desi fulani hivi kwa sababu unapomuingiza mtu katika mtandao huyo ana kuwa yupo chini yako na unalipwa kiasi fulani kama $100 kwa kila kichwa kitakachojiunga kwa $400. hivyo hivyo kama desi ukileta watu wengi unapandishwa cheo.

jaman naomba kujuzwa kuhusu hawa jamaa wanaitwa telexfree how do they operate and are they real...au ndo mambo ya deci...naomba kuwasilisha
 
Hii ni pyramid scheme kama Upatu, wanatumia hela za wanaojiunga now kuwalipa wale waliojiunga mwanzo. Eventually lazima itacollapse. JIHADHARI!!!
 
Yap! Lazima ita collapse siku zijazo
 
Back
Top Bottom