Recent content by skibwe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Kimei: Benki Zinapaswa Kuwajali Wateja na Kuchangia Maendeleo ya Uchumi

    Mwamba anajua sana hii taluma ambayo imashikwa na machawa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kuchangia matibabu ni kwa watu mashuhuri? Ina maana katika jamii yetu hawa ndio wanaostahili misaada?

    Ulichoeleza ni sahihi kabisa, profesa hakustahili kuchangiwa pesa za matibu labda maombi. Hiki kitendo kime prove uwezo mdogo wa watz kufikiri, wengi wanafuata mkumbo bila tafakari wapo wanaostahili kichangiwa sababu ni wahitaji lakini siyo profesa kwa kuzingati wadhifu wake wa karibu na kipato...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    We nimwogo haijawahi kutokea hata shetani ameogopa nimeangalia vizuri hizi sherehe hii picha sio ya leo kiwanja cha dodoma hakikuwa na nyasi za kijani kiasi hicho kulikuwa na nyasi zilizokauka na vipara vingi sana mwisho idadi ya watu hawakuwa wengi kiasi hicho nashauri huu uzi ufutiliwe mbali
  4. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa1
  5. S

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba
  6. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar hiyooo, Tanganyika kimyaaaa

    Hivi zanzibar ikijitenga na tanganyika ikajitenga nani atalipa deni la taifa? Au tutaligawa nusu kwa nusu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tujuane wana JF wa Mwanza

    Kirumba
  8. S

    JamiiForums Tanzania LOWASA ndio chaguo bora 2015.

    Mwl sialiwakataza nyie au bado hamja jifunza kwa ..
  9. S

    JamiiForums Tanzania Zitto kutua Tabora Jumamosi: Mapokezi Makubwa yamsubiri

    Kuna ukweli juu ya usaliti wa zitto kwa mwenendo anaendelea nao wa kupita maeneo waliyopita viongozi wake lengo nini? ni kubomoa chama kwa kuendeleza malumbano kwa faida ya nani ....?ccm. ndo wafadhili wa mikutano yake na ndiyo wanaomba cdm ife wanatangaza tarehe ya cdm kufa kila leo wenye...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mali za Kijerumani

    Kuna ukweli kuhusiana na mali hizo ndio maana kuna vikwazo vingi kuzipata ikiwemo hiyo ya nguvu za giza ila ni bora kukaa mbali kabisa na issue hizo wengi wamefirisika kwa kutafuta mali hizo siyo kazi rahisi, achilia mbali kufirisika unazeeka unafuta bila mafanikio.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mdahalo 'Rasilimali zetu na maendeleo ya Taifa na nafasi ya mtanzania katika umiliki'

    Leo nimegundua kwanini tanzania ni nchi maskini yenye rasilimali nyingi kupitia mdaharo huu watanzania tunatofautiana sana uwezo wa kuelewa na kufikiri mambo sijui sababu ya makabila mengi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wa Dar huwa ni waongo waongo

    Kweli mkuu watu wa dar noma wanajifanya wako faster anaweza kukuita bar akakuagizia chakula na kinywaji na yeye na rafiki zake akawaagiazia maneno mengi mwisho wa siku anaelekeza bill ije kwako jamaa noma sana hawana maana kabisa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    Nani alienda bank akanyimwa pesa zake sababu ya hizo 7 bil zilizoibiwa mambo mengine kama hujui ni bora kuuliza hela zingine za banki zina bima... Unajua kama hizo hazikuwa na bima. Bank kuu ndiyo yenye wajibu wa kusema hayo na baada ya kufanya uchunguzi wa financial status ya taasisi husika
Back
Top Bottom