Tabu watu wanaosema hotuba mbaya wanataka kuchafua nchi tu sasa mnataka angeenda anza kutoa namba za gerezani wapewe wezi wa EPA. Hizo hela mmeshaambiwa sio za serikali, Serikali zimeziweka chini yake sasa hivi. Hizo hela hata watu wa JF mngeweza kuzipata mkengiztaka
Kikwete kawanyamazisha...
Daa mungu aiweke roho ya dada yetu mahali pema.
Mimi nachotaka ni baba yake awe na moyo wa kujiamini aseme yale ambayo amina alikuwa anataka kusema akamkataza.
Bongo naona kunawatu wanajidai ma mafia usiseme ama utaumia na hii tumeona kama mfano mwingine. Lakini hii gang mimi ntaimaliza...
Watanzania aisee hoja simtetei mtu hapa huu ni ukweli tu
Unajua watanzania wanatatizo moja hawapendi kumuona mtu akifanikiwa mfano BM hata kama kaiba lakini kafanikiwa, anatoa misaada mbali mbali kajiusisha kwenye mambo ya ukimwi na kadhiliki kiufupi pesa ipo. Ingekuwa mkapa katoka kama Dr Omar...
hahahah aisee hii tamu sana CCM 0 Chadema 1. Chifupa inaelekea kutoa game hana noma wacha na mimi nitafute ubunge wa songea mjini labda ntazimpompa pompa bi amina
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.