Hata Lisu kaenda Belgium na Urais wake. Huyu ni Raisi wa Tanganyika Law Society.
Halafu wazungu kwao siasa ni maisha siyo hii ya sishonje siasa kwake ni uadui.
Kingunge alisema ccm ni chama chake alichokijenga ila amekiacha na pamoja na kukiacha bado hakithubutu kwenda tifauti na yeye. Sasa huyo sishonje wenu kama kawaida yake sijui alifikiri mzee kingunge anakufa akaanza kumuingizia maneno mdomoni
Hakuna shaka tena kwamba chama cha mapinduzi kupitia makada wake mkuu wa mkoa wa Manyara Bw Alexander Mnyeti na mwenake Mirisho Gambo wa Arusha pamoja na jeshi la polisi wamejipanga kuharibu uchaguzi wa Marudio kwenye baadhi ya kata katika mkoa wa Arusha. IGP Tunaomba kauli yako kuhusu watu...
Ni masikitiko makubwa sana Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Pastory Mnyeti amepanga kuvuruga uchaguzi wa marudio utakaofanyika kesho tarehe 26 November 2017.
Kwa kujua kabisa kuwa anavunja kanuni za utumishi wa umma mkuu huyu wa mkoa amepewa gari ya binafsi ambayo ni mali ya mwanasheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.