Mkuu wa mkoa wa Manyara kuharibu uchaguzi wa marudio Meru. Aandaliwa gari la kuzungukia vituo vya kura

siyoi koroi

Senior Member
Sep 6, 2016
177
214
Ni masikitiko makubwa sana Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Pastory Mnyeti amepanga kuvuruga uchaguzi wa marudio utakaofanyika kesho tarehe 26 November 2017.

Kwa kujua kabisa kuwa anavunja kanuni za utumishi wa umma mkuu huyu wa mkoa amepewa gari ya binafsi ambayo ni mali ya mwanasheria Daniel Pallangyo kwa ajili ya kuzunguka na kuvuruga uchaguzi huu. Ila pia kuna gari zingine mbili amabazo majina ya wamiliki na namba zake tutaweka hapa.

Magari haya atakuwa akiyabadilisha mara kwa mara pamoja na gari yake mwenyewe aina ya Harrier nyeusi.

Tunaomba mamlaka zinazohusika na utumishi wa umma zichukue tahadhari kwani chochote kinaweza kumtokea kutokana na maandalizi ya kujihami yaliyowekwa. Hatutakubali Mnyeti avuruge uchaguzi.

Tunahitaji uhuru wa kupiga kura na kuchagua kiongozi tunayemtaka. Tunamuonya Mnyeti aache Meru na utulivu wake lakini akituchokoza atatupata na sasa tupo tayari kama ambavyo yeye pia yupo tayari kuvuruga amani Meru
 
Tumejipanga vyema na aje tu. Tumeandaa chain saw ża kutosha hapa ndiyo tutawaonyesha meru inafananaje
 
mnaruhusiwa kulinda kula zenu kwa kuwa mnazo tetesi za kuibiwa
 
Endeleeni kumchekea mnajua ataharibu alafu mnamuacha aharibu mje kulia Lia Hapa.
 
Ni masikitiko makubwa sana Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Pastory Mnyeti amepanga kuvuruga uchaguzi wa marudio utakaofanyika kesho tarehe 26 November 2017.

Kwa kujua kabisa kuwa anavunja kanuni za utumishi wa umma mkuu huyu wa mkoa amepewa gari ya binafsi ambayo ni mali ya mwanasheria Daniel Pallangyo kwa ajili ya kuzunguka na kuvuruga uchaguzi huu. Ila pia kuna gari zingine mbili amabazo majina ya wamiliki na namba zake tutaweka hapa.

Magari haya atakuwa akiyabadilisha mara kwa mara pamoja na gari yake mwenyewe aina ya Harrier nyeusi.

Tunaomba mamlaka zinazohusika na utumishi wa umma zichukue tahadhari kwani chochote kinaweza kumtokea kutokana na maandalizi ya kujihami yaliyowekwa. Hatutakubali Mnyeti avuruge uchaguzi.

Tunahitaji uhuru wa kupiga kura na kuchagua kiongozi tunayemtaka. Tunamuonya Mnyeti aache Meru na utulivu wake lakini akituchokoza atatupata na sasa tupo tayari kama ambavyo yeye pia yupo tayari kuvuruga amani Meru

Wala sitoshangaa kama Msimamizi wa Uchaguzi anampigia kampeni Diwani.

Makamu wa RAIS,Rais,Waziri Mkuu na mawaziri ambao Hawa wote wanatakiwa kuwa neutral wako busy kuwapigia madiwani kampeni ni ajabu sana sana.Uchaguzi huu hauko huru wala wa haki.
 
Hakuna shaka tena kwamba chama cha mapinduzi kupitia makada wake mkuu wa mkoa wa Manyara Bw Alexander Mnyeti na mwenake Mirisho Gambo wa Arusha pamoja na jeshi la polisi wamejipanga kuharibu uchaguzi wa Marudio kwenye baadhi ya kata katika mkoa wa Arusha. IGP Tunaomba kauli yako kuhusu watu hawa ambao ni wateule wa Raisi Magufuli. Tunaomba utoe kauli kwani sisi tumejipanga hatutakubali kuvurugwa kwa namna yeyote ile. Tumejipanga sawasawa na tupo tayari.
Tunasubiri kauli talo IGP
 
Shamba ni la bwana kheri na huyo ni mtoto wa bwana kheri yawezekana ni maagizo toka kwa bwana kheri
 
Nipifikiri nitakuta picha au kideo au audio

Kumbe ni kuamka na kutunga tu halafu unaandika hapa.. hamchoki kuwasingizia?
 
Hakuna shaka tena kwamba chama cha mapinduzi kupitia makada wake mkuu wa mkoa wa Manyara Bw Alexander Mnyeti na mwenake Mirisho Gambo wa Arusha pamoja na jeshi la polisi wamejipanga kuharibu uchaguzi wa Marudio kwenye baadhi ya kata katika mkoa wa Arusha. IGP Tunaomba kauli yako kuhusu watu hawa ambao ni wateule wa Raisi Magufuli. Tunaomba utoe kauli kwani sisi tumejipanga hatutakubali kuvurugwa kwa namna yeyote ile. Tumejipanga sawasawa na tupo tayari.
Tunasubiri kauli talo IGP
Uchaguzi ukivurugika tunaanza na wewe utusaidie upelelezi
 
Ndugu yang nakutaadharisha fanya mambo yako usijipange nataasisi yenye nguvu utaumia nahakuna atakekuja kukuona au kuiangalia familia yako wamekufa weng sana ikiwemo maandamo ya arusha umewahi kuskia wamesaidiwa nanan familia zao.ushaur2 mkuu wala sii vinginevo
 
Usiombe ruhusa kwa nyani ilikumchukulia hatua ngedele kukuibia shambani

Chukuwa hatua mojakwamoja.....utateseka bure.
 
Back
Top Bottom