Recent content by sixmunund

  1. S

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa Tumaini University-Mbeya Tukutane Hapa

    Kwa ninavo jua mm zote bado n tumain though majina yamebadilishwa kama vile iringa UN na tumain mbeya instead of tumain iringa and makumira mbeya respectively. ..ivo yaaan
  2. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo yakamilisha uchambuzi wa maombi ya mikopo, 20,183 wapata kati ya 88,163 walioomba

    Na kama art co Masomo yafutwe bas tujue moja
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tuache kuitupia Serikali lawama dhidi ya wanafunzi waliokosa mikopo

    Sasa nn io,,, comment au...??? ,,co kosa lako lkn itakuwa njaa io
  4. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako awatupia lawama Bodi ya Mikopo kufanya kazi kwa mazoea, arejesha posho ya 8,500

    Ila bado n 25000 tu watakaopata uo mkopo ko 66000 n bilabila
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    25 ad 22 unataka mwarabu nn mbna kinyume kinyume
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kulekea vyuo vikuu 2016/17

    Akuna kitu kama io..watu kudisco kisa kumis orientation koz...mjue watu atuna hela cc atuji ad tupate uhakika..ada unaweza kuwa nayo ila pesa ya kujikimu ndio nying zaid.so mwaka uu kuna hatar ya kukosa wanafunz kama vp
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Acha zarau Brooo. ..maisha yote no history ...history utakuwepo tu...(note)
  8. S

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanafunzi waliopewa mikopo na bodi ni 3,966 tu?

    Mbna scorpion watakua wengi kama ndo ivo.make watu tumetoka JKT tumekamilika afu tufe njaa kizembe ivo....tukikosa mkopo n mtaan tu
  9. S

    JamiiForums Tanzania TCU: Hii imekaaje..!?

    Duhhhhh nilijua n mm peek angu ndo nimeachwa japo Nina 2 yangu ya 11. Cha ajabu sasa,, mtu Mara ya kwanza kakoswa Chuo kaomba second na udzm akuijaza Mara ya pili lkn kachaguliwa apo apo .sasa tcu izo c ndo nafas za wengne jaman .
  10. S

    JamiiForums Tanzania Direct cost vyuoni zinalipwa zote kwa pamoja?

    Mmhhhh 2 million ?????
Back
Top Bottom