huyu jamaa anamuwaza lowassa wakati anko jp mwenywe hajtia ha pua yake huko na ndo mkuu wa nchi! we mfuko wa maafa wenyew hauna kitu wanaanza kuomba misaada kwa wananchi tenaa! we kwa akili yako hayo maeneo matatu yanaishida serikali kuyaudumiaa....mpaka now wako kimyaa tuu je ksma ingetokea...
wadau naomba kuuliza kwa anaejua kuhusu hili, ni lin vijana wa jkt wa kujitolea wanatakiwa kwenda kambini? au serikali imehairisha? maana ni kitambo ss tangu usaili kumalizika na tarh ikapangwa zen watu wakaambiwa safar imeahairshwa! sababu eti ni frm six, ss wameshamaliza kama wik mbili...
Hiv wakat unapoct hizo picha ulifikilia unaziweka wap na unawawekea wakina nan? Unadhan watu ni wajinga kiac hichoo, tv zipo, radio zipoo mitandao ipoo! Hata aibu huonii!! Jipange upyaaa!!
Huyo jamaa anayeaema ni cheap politics ana akili kama za huyo anayekula mihogo ambayo ni chin ya 10,000 kwa cku alafu anatumia zaidi ya mil100 for three hrz! Alafu wanamtetea! Kwel kuna watu more zan wpmbv na malofa!!! Ccm jipangenii!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.