Recent content by siwazi wa siwazi

  1. siwazi wa siwazi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Zakaria Hans Pope na CAG

    Matumaini yangu kuwa hamjambo na wazima wa afya, binafsi naendelea vizuri alhamdulillah maisha kimtindo yanakwenda japo twazidi kuzisoma namba. Nimeona nitoe maoni yangu kwenu juu ya masuala yanayoendela ndani ya nchi yetu ya vi-wonder Nikianza na sakata la Zakaria Hans Pope kwa magari yake...
  2. siwazi wa siwazi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Napiga bei viwanja vyangu vilivyopimwa Madale Mivumoni

    Habari zenu ndugu zangu mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri kwa uwezo wake aliyejuu. Napenda kuwahabarisha kwamba nauza viwanja vyangu ambavyo vipo kata ya Wazo kitongoji cha madale mivumoni. Jumla ya viwanja vipo kumi na tatu(13), vyote vina nyaraka muhimu...
  3. siwazi wa siwazi

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa million170

    Inauzwa kwa sababu gani?
  4. siwazi wa siwazi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kati ya hizi gari wanajamvi

    Mm nakushauri uchukue ya kwanza ambayo ni toyota Crown Athlete. Kwa sababu hizi, nikirejea kwenye thread yko, unadai kwamba hiyo ndio gari yako ya kwanza ya luxury. Siku zote ukitaka uvipende vitu vizuri basi sharti udumu navyo na pia visikuchoshe na wala ww mwenyewe usivichoshe. Pili...
  5. siwazi wa siwazi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja vyangu vilivyopimwa Madale Mivumoni kwa bei nafuu

    Umeme upo ushafika na maji ya kumwaga...
  6. siwazi wa siwazi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja vyangu vilivyopimwa Madale Mivumoni kwa bei nafuu

    Habari zenu ndugu zangu mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri kwa uwezo wake aliyejuu. Napenda kuwahabarisha kwamba nauza viwanja vyangu ambavyo vipo kata ya Wazo kitongoji cha madale mivumoni. Jumla ya viwanja vipo kumi na tatu(13), vyote vina nyaraka muhimu...
  7. siwazi wa siwazi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja viwili vya heka moja moja Dar

    Kaka kwa nini tuandikie mate wakati wino upo? Karibu uvione Jamiix
  8. siwazi wa siwazi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja viwili vya heka moja moja Dar

    Goodmorning... Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, nauza viwanja vyangu viwili ambavyo vyote vipo wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es salaam. Kiwanja kimoja kipo kata ya Goba ambacho ukubwa wake ni hekari moja, kingine kipo Madale Kisauke nacho pia ni hekari moja. Bei za viwanja vyote ni...
Back
Top Bottom