Plot4Sale Napiga bei viwanja vyangu vilivyopimwa Madale Mivumoni

Aug 20, 2016
9
45
Habari zenu ndugu zangu mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri kwa uwezo wake aliyejuu.

Napenda kuwahabarisha kwamba nauza viwanja vyangu ambavyo vipo kata ya Wazo kitongoji cha madale mivumoni.

Jumla ya viwanja vipo kumi na tatu(13), vyote vina nyaraka muhimu ikiwemo hati ambayo ipo kwenye process ardhi.

Nikiwa na maana, endapo mtu atanunua, hati itatoka kwa jina lake, nimeambatanisha na mchoro wa viwanja husika kwenye jukwaa Hili.

Bei zimetofautiana kulingana na ukubwa wa eneo kama ifuatavyo :

1600sm (40*40) = 35milioni(Mazungumzo yapo).

800sm (20*40) = 25milioni (Mazungumzo yapo).

UMEME UMEFIKA NA MAJI YAPO JIRANI KABISA

Attachments

monaco

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,184
2,000

Mkuu Siwazi wa siwazi bado Viwanja Vyako Vya Madale Mivumoni unavyo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom