Recent content by Sitanii

  1. Sitanii

    JamiiForums Tanzania Tunapohitimisha mwaka 2025, Jambo gani zuri au baya limekutokea na hutolisahau maisha yako yote!

    Ndani ya huu mwaka nilitabasamu na kucheka Sana kutokana na yaliyonikuta. Siku moja nilipokutwa na Jambo lingine, baada ya kucheka nikajiuliza "hivi ni kweli nipo hai, kwanini sihisi maumivu?". Ahsante Kwa wale waliokuwepo kunitia moyo, na kuniambia yataisha na nitainuka tena.
  2. Sitanii

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Zipi hisia zako unapoona ambulance?

    Mpaka Leo king'ora chake chaniogopesha Sana. Mama angu mzazi Khaa! Sina maneno mengi mkuu. ........
  3. Sitanii

    JamiiForums Tanzania Hivi mstaafu Kikwete huwa haambiwi na kupewa taarifa kuwa watu wanamsema vibaya na kumchukia?

    Huruka❎ Hulka✅. Kiswahili ni chetu sote, ni lugha yetu.
  4. Sitanii

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Uvamizi uliofanywa ofisi za JamiiForums haujaathiri Shughuli, Miundombinu na wafanyakazi

    Nilikuona jana mkuu, kidogo ukimbie nchi yako.
  5. Sitanii

    JamiiForums Tanzania Sababu gani hupelekea watu kujenga na kuishi juu ya milima katika jiji la Mwanza? Maisha ya makazi huko milimani huwa yakoje?

    Aah! Kumbe ule mradi wa Butimba tayari? Kuhusu kutozinduliwa usishangae mkuu, upigaji hapo unaendelea.
  6. Sitanii

    JamiiForums Tanzania Sababu gani hupelekea watu kujenga na kuishi juu ya milima katika jiji la Mwanza? Maisha ya makazi huko milimani huwa yakoje?

    Eeh! Nautafuta nauli mkuu. Now nipo juani huku Dodoma nikimaliza hili suala naingia Rock City nikapumzike. Ila maeneo mengi ni changamoto mkuu
  7. Sitanii

    JamiiForums Tanzania Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

    Mkuu kuna NMB na CRDB hawajambo kukata pesa za watu na hii inajulikana, yaani hata ukiwa unapumua. Unaogopa nini kuwataja wahusika? Hizo Bank kubwa ni Barclays na Standard Chartered? Hiyo case si umeileta ili itatuliwe, sasa unawaficha ni wapwazo hao? #Sitanii
  8. Sitanii

    JamiiForums Tanzania Sababu gani hupelekea watu kujenga na kuishi juu ya milima katika jiji la Mwanza? Maisha ya makazi huko milimani huwa yakoje?

    Ugweee! Milima ni meter 1000 kwenda juu, hatuongelei ml. Kilimanjaro, Meru, na Rungwe. Ni vichuguu tu mkuu
  9. Sitanii

    JamiiForums Tanzania Sababu gani hupelekea watu kujenga na kuishi juu ya milima katika jiji la Mwanza? Maisha ya makazi huko milimani huwa yakoje?

    Buswelu ni mbali sana mkuu, hata makoroboi near City center, hakuna maji ya 24hrs. Adanganywe nani sasa? Nyegezi stand uuuuh! Nafwa
  10. Sitanii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukubwani kuna yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe huwezi kuja kumsahau kwenye maisha yako hata kama maisha yatawatenganisha. Ni nani huyo

    Dah! Pole sana mkuu kumpoteza Bro, I feel You
  11. Sitanii

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Mbeya hahahahah! Wapo na hao ndugu zangu wasafwa ni shida🙌
  12. Sitanii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Ni mwenyewe mkuu
Back
Top Bottom