Umri Wang miaka 32. dini mkristo .ni mfanyakazi? nahitaj mke awe mrembo.dini mkristo .umri 23 hadi.28 .awe mwenye kujiheshimu .ambaye Yuko serious anicheki pm
Ukiona jamaaaa anakusaidia kila siku ndio unataka utoeeee shida kila siku jamaaaa anakusoma Tabia yako atakukimbia hata km amelipia Mali maaaan kila siku uwe na shida ww tu
Mpenda maendeleo acha kumdangaya mwanaume mwezako huyooo sio mtu mzuri kwako hawezi kufany kwa Siri mbona we ujamficha tambua ameanza kujitenga na ww muda wwt atakukimbia sbb anajua ana viwanja bado hajaanza kujenga kwa Siri utajuta
Unajua kwann walitwa JINA LA HAWA sio watu hao ni majambazi HAWA ni washenzi HAWA mwana roho mbaya HAWA sio wa kuwaaamini hata dakika 1 HAWA tuishi nao kwa akili HAWA sio ndugu zako huwa simuamini mwanamke kwa njia yoyote ile HAWA sio damu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes utapeli umefanyika ofisi kwao tena msuya akiwa ndio mhusika mkuu alisema anafanyia kazi autocom kumbe alifukuzwa muda mrefu Sanaa akaniunganisha kwa meneja wa autocom nikafika ofisini tukachangua gari ss kilichotokea kumbe meneja ameweka hela kwny account yake hrf anasema amelipia tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.