Hivi wanawake huwa wanataka nini?ona huyu,mshauri

Wanaume tunatofautiana, kuna wanaopenda kuombwa ombwa ndio watoe huduma na kunao ambao hatupendi kuombwa ombwa ila tunajiongeza.

Sasa jamaa yako kama anaona fahari ya mizinga we muue tu mizinga mpaka adate.
😆😆😆😆😆😆😆 naona anabipu fire kwa moto wa kuni 2!
🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Ukiona jamaaaa anakusaidia kila siku ndio unataka utoeeee shida kila siku jamaaaa anakusoma Tabia yako atakukimbia hata km amelipia Mali maaaan kila siku uwe na shida ww tu
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 27, sijaolewa ila nina mchumba wangu amabye kashajitambulisha kwetu ametoa mahari na mwezi wa 10 mungu akipenda tutafunga ndoa. Mimi na mchumba wangu tuko vizuri, mimi nafanya kazi serikalini nayeye ni Mwanasheria, ananipenda, ananijali na kunihudumia kwa kila kitu. Lakini tatizo lake Kaka ni moja, yaani sijui kama ni mtu ambaye anafaa kwangua u ni mimi nakosea. Mchumba wangu ni mtu wa kunicontrol sana, sijui nisemeje lakini anataka kunisaidia kwa kila kitu.

Labda nikupe mfano Kaka ili unielewe, mchumba wangu anapenda nikipata shida nimuambie yeye ili anisaidie na si mtu mwingine. Kwa mfano labda nimeumwa na sina pesa, nikamuambia Dada yangu akanipa, akijua atakasirika kuwa namdharau eti kwanini sikumuambia yeye anipe, labda kodi ya nyumba imeisha nikaenda kukopa anakasirika kuwa kwanini namruka yeye naenda kukopa wakati yeye ana uwezo wa kunihudumia, hataki ndugu zangu wanisaidie kwa chochote anaona kama ninamdharau kwa kutokumuambia yeye matatiozo yangu.
Nikweli nikimuambia shida yoyote ananisaidia bila kinyongo wala nini, haninyanyasi lakini Kaka mimi nachoka nitamuambiaje mwanaume matatizo yangu kila siku. Sio kwamba hanipi pesa bila kumuomba, ananipa lakin tatizo lake nikuwa kwanini nikiwa na shida simuambii naenda kukopa au kuwaambia watu wengine. Mimi kaka wakati mwingine najisikia vibaya kumuambia kila kitu naona kama ataniona nina shida sana lakini nisiposema anakasirika, kaka naomba ushauri namna ya kuishi na mwanaume kama huyu kwani nampenda sana na yeye ananipenda.
Angeanza kwa kukataa mahari angekuwa kashaweka msimamo wa kutotaka kusaidiwa tangu mwanzo, na hilo lingeeleweka.

Sasa kaanza kwa kukubali habari za mahari, kashaingia katika mtego wa "mfumodume". Huko mbele kuukataa mfumodume inakuwa vigumu sana.
 
Guilt conscious! Huyo dada hawezi pata amani paka ayaweke wazi makandokando yake.
 
Sishangai maana nawajua wasichana wengi wana hiyo weakness, wakipenda tu, aliempenda anakua anamuogopa hatari.
Asante kwa kutujua.... Tusiowapenda wanakiona cha mtema kuni kilichomtoa kanga manyoya
 
Umepatwa bahati ya kupendwa pendeka basi embu acha utoto
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 27, sijaolewa ila nina mchumba wangu amabye kashajitambulisha kwetu ametoa mahari na mwezi wa 10 mungu akipenda tutafunga ndoa. Mimi na mchumba wangu tuko vizuri, mimi nafanya kazi serikalini nayeye ni Mwanasheria, ananipenda, ananijali na kunihudumia kwa kila kitu. Lakini tatizo lake Kaka ni moja, yaani sijui kama ni mtu ambaye anafaa kwangua u ni mimi nakosea. Mchumba wangu ni mtu wa kunicontrol sana, sijui nisemeje lakini anataka kunisaidia kwa kila kitu.

Labda nikupe mfano Kaka ili unielewe, mchumba wangu anapenda nikipata shida nimuambie yeye ili anisaidie na si mtu mwingine. Kwa mfano labda nimeumwa na sina pesa, nikamuambia Dada yangu akanipa, akijua atakasirika kuwa namdharau eti kwanini sikumuambia yeye anipe, labda kodi ya nyumba imeisha nikaenda kukopa anakasirika kuwa kwanini namruka yeye naenda kukopa wakati yeye ana uwezo wa kunihudumia, hataki ndugu zangu wanisaidie kwa chochote anaona kama ninamdharau kwa kutokumuambia yeye matatiozo yangu.
Nikweli nikimuambia shida yoyote ananisaidia bila kinyongo wala nini, haninyanyasi lakini Kaka mimi nachoka nitamuambiaje mwanaume matatizo yangu kila siku. Sio kwamba hanipi pesa bila kumuomba, ananipa lakin tatizo lake nikuwa kwanini nikiwa na shida simuambii naenda kukopa au kuwaambia watu wengine. Mimi kaka wakati mwingine najisikia vibaya kumuambia kila kitu naona kama ataniona nina shida sana lakini nisiposema anakasirika, kaka naomba ushauri namna ya kuishi na mwanaume kama huyu kwani nampenda sana na yeye ananipenda.
vimisaada vya pembeni ni ndoano,wanawake wapumbavu hutoa uchi kama fadhila baada ya kusaidiwa,hata mm siwez nikaintertain upuuz wa mke wangu kuingia madeni pembeni bila mm kujua tunakopa kwann na wakat huo hajanishirikisha likashindikana,ww kama unaona kwa sabb hizo hakufai vuja uchumba usisubir kuja kuvunja ndoa
 
Sipendi kuomba omba mie...najidharirisha tu.asiponipa mwenyewe basi...ntapambana na hali yangu
 
Achana naye fasta, ana mpango wa siri wa ovyo, kama sio muuza vingo hususan figo n.k basi atakuwa anakupumbaza aje achezee tope kama hukimbii jiandae festula
 
Harafu nyie ni wajinga sana mukiwa kwenye igenjimenti huwa munajiona mumeoatia maisha wengine tunawachora munavyoingia kwenye hayo mahusiano na mabwana zenu tunaokaa nao kijiweni wakituambia yale ambayo ndio wanayafanya kwenu kuna mtu alishawahi kukipenda ile kwa dhati na aka apa kuishi na wewe vizuri ila ukiangalia wenye kipato kikubwa ndiyo ukaona umefika pambana mpaka kufa labda uombe taraka
 
Angeanza kwa kukataa mahari angekuwa kashaweka msimamo wa kutotaka kusaidiwa tangu mwanzo, na hilo lingeeleweka.

Sasa kaanza kwa kukubali habari za mahari, kashaingia katika mtego wa "mfumodume". Huko mbele kuukataa mfumodume inakuwa vigumu sana.
Mkuu wewe ndio mtu pekee mwenye iq kubwa ya kuwasaidia hawa viumbe pamoja na elimu zao hila haziwasaidii!!!
 
Tafuta anayekukopa hadi papuchi huyo hakufai
 
Back
Top Bottom