Hiv ccm wemesahau kua hii sheria inawahusu hata wao!? Pindi watakapo toka mdarakani ndio wataona uchungu na utamu wa hii sheria kma itapitshwa wasijisahau kiivyo wakidhan watakaa madarakani mda wote kwa hii Tanzania wawa wangaalie wenzao kenya ,Serbia n.k
Mbon muongo hivyo hiyo picha ni ya mda mrfu wew acha kutudanganya na hilo sio shart Bali ni shuka la blue la hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.