Recent content by sisi ni ndugu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Hananja: Wachungaji KKKT wakihoji vitendo vya viongozi kuuza Mali za kanisa, wanafukuzwa, asema na yeye alisimamishwa mwaka mmoja

    Kama anaitwa Askofu Mkuu ila hana mamlaka ni useless. Kama kweli Katiba iko hvyo kuna haja ya mabadiliko haraka
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo la IPhone 7 kutokusoma line

    Habari wakuu, Nina iphone 7 inasumbua kusoma line..inaweza soma kwa sekunde 40 then ikarud kwenye No Service. Shida itakua nini?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

    yani hawanaga time kabisa, wao ni busy na mambo yao na kupiga masanga.....they do not complicate life
  4. S

    JamiiForums Tanzania Toyota Allion Vs Toyota Premio ZZT 1.8L

    Mkuuu mrejesho? Vp gari ilifika? Unaionaje?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuchukua gari car Yard DSM vs kuagiza kutoka nje, budget - aina ya gari

    Nashukuru sana wataalam kwa michango yenu, nafanya maaamuzi kwa kuzingatia maoni yenu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuchukua gari car Yard DSM vs kuagiza kutoka nje, budget - aina ya gari

    Habari za jioni wataalam. Msaada wa ushauri, kuna budget ya 15M nahitaji toyota ya kuzugia mjini, napendelea sana toyota premio isiyozidi 1500cc , je ni nzuri au unashauri nichukue aina gani? Je utaratibu mzuri ni kuagiza au kwenda yard kujichagulia? Naomba ushauri wenu wataalam.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Gari ya push to start kugoma kuwaka

    Hapo hapo yani
  8. S

    JamiiForums Tanzania Gari ya push to start kugoma kuwaka

    kumbe sipo peke yangu niliyepata shida hyo, nashukuru sana mzee hapo umenitoa upofu, pamoja sana
  9. S

    JamiiForums Tanzania Gari ya push to start kugoma kuwaka

    Yap alama ilikuja na ilikuja tu baada ya kufika eneo lile, hakukua na alarm yyte, na kama battery low mbona baada yakuondoka sikupata shida yakuwasha tena na funguo ilikua mfukoni kabisa?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Gari ya push to start kugoma kuwaka

    mkuu amini kabisa hatua zote hizo nilichukua, sema kuna shida tu somewhere bado hatujaigundua, maana wanasema ni kawaida eneo hilo sensor kugoma
  11. S

    JamiiForums Tanzania Gari ya push to start kugoma kuwaka

    yap toyota
  12. S

    JamiiForums Tanzania Gari ya push to start kugoma kuwaka

    hahahaha kazi kweli kweli
  13. S

    JamiiForums Tanzania Gari ya push to start kugoma kuwaka

    asante sana nimekupata mkuu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Gari ya push to start kugoma kuwaka

    Inawezekana
  15. S

    JamiiForums Tanzania Gari ya push to start kugoma kuwaka

    habari za jioni wakuu, niliazima gari ya rafiki yangu kwenda nayo sehemu flani, wakati wa kuondoka sehemu hiyo nilijaribu sana kukanyaga brake ili ni push the button kuwasha gari ila ikagoma kabisa, Pembeni kulikua na bodaboda wengi nkajaribu kuomba msaada wakaniambia eneo hilo kuna minara...
Back
Top Bottom