Yasiyomstahili kivipi? Kwa kuzingatia utamaduni upi? Je kuvaa sketi kuna mahusiano gani na ushoga? Hiyo picha amepiga akiwa wapi na kulikuwa na tukio gani. Je wewe msukuma au mwaisa ukienda umasaini wakakuvalisha shuka unageuka kuwa shoga? Au ukienda zenji ukavaa msuli unabadilika?
Ni kweli...
Ndoa ni taasisi njema by its foundations. Hivi karibuni kumetokea mabadiliko mengi yaliyopelekea ndoa kuwa na maumivu zaidi ya furaha.
Hakuna mtu amesomea uvumilivu, uvumilivu tunajifunza tu, na wala hakuna guarantee kwamba umejifunza na umefaulu. Kama hukufaulu, ndoa hugeuka na kuwa kitu cha...
Nimekuelewa. So no wonder hao walutheri wanaogombana kuna jambo lazima litatokea ndani yao, kwa maana structure yao ndo inayofanya wagombane, mwisho wa yote najua watavuka na watafikia stage nzuri ya uendeshaji wa kazi zao. Sisemi kwamba Wakatoliki wako salama lahh coz ndani kwa ndani si tunaona...
nashukuru kuwa umetambua Karismatic ni mipango mahususi ya survival, (yaliyomo ndani ya karismatiki) kwa taarifa yako ndo reformation inayoendelea ndani ya kanisa letu la katoliki.
Nachojua kuna mahusiano makubwa sana kati ya mafanikio ya kibiashara na ushirikina.
Lakini najua pia kuwa kuna mahusiano makubwa mno mno kati ya mafanikio ya kibiashara na ucha Mungu wako.
It is just a matter of trading of vile unavyofikiria wewe inafaa kwa wakati husika. Wengi huweza kuanza...
kwa kuwa hazikuhusu usishangae chochote, na hiyo tafsiri yako ya Protestant uliyokariri kutoka Dictionary imekufumba macho kujua kuwa hata ndani ya Ukatoliki kuna matengenezo yameshafanyika na yako in application na soon yata reveal its real colour, au hujui kuwa Karismatiki ni zao la...
Kuna mahusiano gani kati ya Idadi ya Walutheri waliopo Tanzania na uwepo wa walutheri huko Malawi na Msumbiji? Najaribu kujua unataka kuleta uchambuzi gani, natamani nikulelewe ili niweze ku connect dots kwenye uzi huu.
una maono ya ajabu. Kwa kuwa hujui maana ya KKKT ndo maana unasema hata hapo Malawi halipo. Ni hivi KKKT ni kifupi cha Kanisa la Kiinjili la Kilutheri TANZANIA, Tanzania sio MALAWI ndugu, unataka kitu kiitwe Tanzania na Kiwepo MALAWI kwa sababu gani ndugu. Ila Kwa hakika pale Malawi kuna...
Si ajabu kushuhudia migogoro popote pale. Ila mgogoro ukitokea kanisani huonekana wa ajabu kwa kuwa hatuwategemei viongozi wetu wa kidini kulumbana hadharani na kufikishana mahala pa kujianika. Ubadhilifu wa aina yoyote ile, popote pale haujawahi kuwa HIMILIVU, lazima upitie mchakato unaofaa...
Ni kweli kabisa, sema systems za wengine ziko closed lakini huko ndani wanaparurana sana, wanachofanikiwa ni kwamba siri zao za ndani hazitoki nje kirahisi.
Utume wa kweli umepotea, hapa ndipo shida huanza, na hata ukimpata anayeanza vema, ni mara chache sana humaliza vema, somewhere hapo...
Let's say both. Nachozungumzia hapa ni nchi yetu TZ Ku engage kwenye hii biashara ya ndege as if ni kitu cha kujivunia badala ya kuangalia business worthiness. Kumiliki ndege ukadhani ndo umepata solution ya matatizo ya nchi ndipo napopata shida hapa. Ndo maana nikafika mahala nikasemea aina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.