Kuna vitu unafikiria kishabiki badala ya uhalisia na bahati mbaya unajiamini kama ukosahihi wakati kiukweli hujui unacho uliza. Jibu swali hili, ukijibu vizuri basi majibu ya maswali yako utakuwa umejijibu:Marekani na Cuba au Fideri Castro Leo uhusiano wao ukoje?, na kwa nini?
QUOTE=Dkt...
Unatumia nini kupima uporomokaji wa CDM?
Sisi wenzako vipimo vyetu vinaonyesha inapaa juu kwenye medani za siasa za vyama vingi. Kwanza idadi ya wabunge tangu 2010 imeongezeka, Madiwani wameongezeka, serikali za mitaa pia wameongezeka. Ukizingatia mazingira halisi ya chaguzi zetu CDM...
Mbona umechelewa sana kulijua hilo. Tumetoa ushauri mara nyingi lakini mnapuuzia kwakuwa mnajiona mna akili kuliko wapiga kura. Kabla hujapeleka hoja yako bungeni tuambie ile hoja yako uliyo peleka imepatiwa ufumbuzi au ni usanii tu wa kuonekana unasema sana bungeni wakati hoja zenyewe hazina...
Wamepeleka watu Zimbabwe kujifunza kuiba kura. Tuwe makini kulinda kura, daftari la wapiga kura na tume huru ya uchaguzi. Kwataarifa CCM ilishinda kihalali mara moja tu toka tumeanza mfumo wa vyama vingi na ilikuwa temu ya kwanza ya Kikwete.
Tatizo kubwa ninalo liona hapa kwa pro CHADEMA wengi ni kwamba wengi mmemezeshwa story za vijiweni huko halafu vistory hivyo hivyo mnataka kuvitumia kujibia hoja nzito kuhusu mapato ya viongozi wetu hasa kutoka kwenye vyanzo vya biasha.
Ni wazi kuwa kwa story zenu za kuokoteza huko vijiweni...
Kila mtu anapenda chama chake na hujitahidi kubuni mbinu za kukichafua chama pinzani kama unavyojaribu kufanya. Hivi CCM inaeleweka sera yake kweli?. Tufuatane taratibu kwa hoja hapa:-
Sera ya elimu CDM wanasema elimu itolewe bure kwakila mwananchi hii ilinadiwa sana na Dr Slaa wakati wa...
Kwa mchanganuo huo ulio toa uko sahihi kabisa hiyo mikoa sio ngome ya CDM, ila kwakusema hivyo huoni kama unatuhalibia propaganda yetu ya ukabila na ukanda kwa CDM, sasa tutumie propaganda ipi kuwamaliza?, maana ya ugaidi mahakama haitaki kushirikiana na CCM, na wewe unaifuta hii ya ukabila kwa...
Bwana Bakari inaonyesha wewe ni kati ya watu makini katika nchi hii ila unatatizo la kujishau haraka. umenukuu Ibara ya 18(a)ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiyo iliyokupa haki ya kuandika Makala hii kwani Ibara hiyo inatoa Uhuru wa Mtu kutoa Mawazo na Fikra zake kuhusu Nchi yake...
Kumbe kajikopesha sio kaiba, tatizo ni kukopa au ni nini? ukikopa unardisha ulikokopa, hakuna tatizo hapo.
Ununuzi wa pikipiki mahesabu ya chama yanakaguliwa na CAG subili taarifa yake. Ushuru wa kuziigiza hapa nchini ulikadiliwa na watu wa TRA na hiyo ndio bei ya ununuzi wachina pia wanaweza...
1. Rushwa ni kitendea kazi kwa CCM, kwahiyo hakuna mbinu ya kupambana nayo ni kuitumia tu kufanya kazi. Kwa CDM rushwa ni kero kwa wananchi ni lazima ipigwe vita kwa nguvu zote, kwa taarifa yako wala rushwa wote serikalini walianza siku nyingi kuwaorozesha haitakuwa kazi kwashughulikia bila...
mambo mengi yanayofanywa na serikali yanasababisha wananchi kuichukia CCM na viongozi wake. kwa mfano:-
1. bomu la Arusha watu wamesema polisi wamehusika,kwa nini tume haiundwi kuondoa utata huu?
2. Badala ya kuunda tume wanamtisha Mbowe!
3. Mtwara wanasema watafaidika vipi na gasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.