Habari zenu wakuu?
Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills.
Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke yangu. Watu ambao nimekuwa nikiwataka tuwe tunazungumza wananiona kama nimechanganyikiwa. Anyway...
Mkuu, mimi nilipokuwa mdogo nilikuwa naangalia TV sana na kusikiliza mziki Kusoma riwaya.
Nilitamani kuja kuwa best musician na author na role models wangu walikuwa Master KG na Denzel Washington.
Nimefanikiwa kufika malengo kwa asilimia kadhaa, sababu nimefanikiwa kuhold bachelor in music na...
Yeah kiongozi.
Kuna huyo manzi nilimpenda bila kumtamani. Hii inakuwa out of beauty, sexual desire. Ni ile unafeel her/his energy and presence in your life.
Na nilikuta tunashare some common things kama: interest, hobbies and dreams.
Japo ndo hivyo, yeye bado konakona nyingi ukizingatia...
Hilo sio kosa lako mkuu. Ni kosa lake. Kwanini akuamini kizembe hivyo. Kuamini haraka ni dhambi. Wewe hapo ni shetani yeye ni Adam na Eve. Nyote mna viti vyenu sehemu msipojifunza userious na kukimbizana na muda.
Hata mimi nipo kwenye mahusiano lakini najua anytime mambo yanaweza enda mlama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.