Recent content by SirMadesa

  1. S

    Kwa wale waliosoma UDSM

    hutofanya mtihan hadi umalize
  2. S

    Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    fungua website ya uhamiaji utapata majina ya mashabiki wa kuangalia mpira wa uhamiaji uwanja wa taifa jumla ya majina ya mashabiki ni 10816
  3. S

    Anaezijua ofisi za precision air kwa Dar zilipo, msaada tafadhari

    ziko Quality Plaza njia ya pugu kama unatoka posta kwenda airport shunga kituo cha ngoz ndo hapo hapo
  4. S

    Jamaa aliyezuia pdproxy pale voda apandishwa cheo

    IT mmoja aliyezuia pdproxy kutumika kwenye voda amepandishwa cheo kwa kuzibiti uhalifu
  5. S

    Kesho ni 4 nov TRA watanya interview ya written

    Mim sijawahi kufanya interview TRA kesho ni written interview jee maswali gani wanapenda kuliza plz naombeni msaada
  6. S

    TRA Assistant Information System Administrator Interview

    hata na mmi nimepitiwa sim na tra interview itakuwa 4 nov ni position ya WEB Developer ila sijawahi kufanya interview hata moja wamesema itakuwa written jee hiyo written interview wanafocus kwenye maeneo yep ili tupate kujianda
  7. S

    TRA Assistant Information System Administrator Interview

    Na mim nimechaguliwa kwenye interview tra itakayofanyika 4 nov kwa position ya WEB DEVELOPER ila sijawahi kufanya interview hata moja wamesema itakuwa ni written jee kuna mdau yoyote wameshawahi kufanya interview tra ya written and oral common question zao za written sina focus wap plz i need ur...
  8. S

    Tra-business analyst -web developer

    Juzi nimepigiwa simu na tra ninatakiwa nihudhurie kwenye interview ya written jee kuna mtu wameshawahi kufanya interview za tra hususani za IT anipe muongoza wahiyo written interview ili nipate kujiandaa vizuri naombeni msaada wana jf na hii ndo barua ya mwalizo Please refer to your...
Back
Top Bottom