Recent content by Sirima la mchomba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Sabodo alishawapa CHADEMA jengo la kisasa?

    Hahaha hahaha wabogo na vituko kazi kwelikweli
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi siku hizi wanazeekea makwao bila kuolewa?

    Ulibahatisha dadaangu mshukuru mungu
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi siku hizi wanazeekea makwao bila kuolewa?

    Wengi wangali wako majumbani ndugu unazoziona ni chache tu sasa usidhani kama wanao olewa ni wengi Tatizo nowadyz dada zetu mnanyodo sna mwingine nilitaka kumuoa miaka mitano iliyopita a akasema hana mpango wa kuolewa ni mpaka apate kazi nimeoa nishamaliza na kuza watoto wangu wawili...
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi siku hizi wanazeekea makwao bila kuolewa?

    Kusini bado giza mwanamke anatalikiwa kesho yu aolewa hata mara 7 kwao kawaida tu
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi siku hizi wanazeekea makwao bila kuolewa?

    Miaka 35 hadi 40 kwa sasa mwanamke anakuwa ndio basi tena uzazi wa bahati na pia anakuwa hana mvuto tena.....
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Watawajibisha kila mtuu tuache siasa za maji taka kama watu hawawezi siasa waache Tatizo nchi za afrika kiongozi ndio dalali wa mali zetu kwa weupe Baba ake kaacha hazina 2 ccm nazo ni mwanaye na nyingine ni MB mtera kama alivyokuwa akijisifia kuile dom
  7. S

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba ajibu tuhuma dhidi yake

    Hahhaha Hahaha kazi bado dadake kajibu nini /?
  8. S

    JamiiForums Tanzania CCM mtaondoka tu, hili halina mjadala

    wewe ndio mburulaaaa koz huion tanzania mbali zaidi ya uchama na ukabola
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli,basi CCM hatuiwezi kamwe

    Hahaha hiyo katiba mpya ina nini cha kuibadilisha tanzania? Tatizo sio sisiemu Tatizo ni watawala wanaowaza kuwa matajiri wakuhifadhi hela uswizi na kama ni vibendera vya magharibi afrka Tanzania ndio no 1 tunadhamini wageni kuliko tunavyodhamini hata wazazi na ndugu zetu Kisa ni uloo wa hela...
Back
Top Bottom