Recent content by Siri ya mgoda

  1. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Imelda gani huyo au ndio yule mzazi mwenzangu
  2. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Wamama kutembea na vijana ni uungwana?

    Hujui utam wa mashangazi jombaa
  3. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

    Hatimae wakinga tumefikiwa [emoji849][emoji849]
  4. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Watu wachoyo Sana wanatunyima Hadi dhambi
  5. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Experience yangu kuhusu PEP-(Vidonge vya kukinga na maambukizi ya VVU)

    Vipimo vinapatikana WAP kwa urahisi au lazima niende hospital haviuzwi?
  6. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Ninunue kiwanja sehemu gani ndani ya Dar?

    Pamoja Chief
  7. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi date na ke/me zaidi ya mmoja wanaotumia jina moja, karibu u-share tabia zao

    Sidhan Kama amekosekana Anne wangu wa Moshi anapenda dudu yule
  8. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Ninunue kiwanja sehemu gani ndani ya Dar?

    Mim natafuta connection na zile compuni zinauza viwanja zisizo na magumashi
  9. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

    Naomba msaada wako na Mimi huko viwandani kwa wachina tafadhari Kama bado una connection Hali ngumu hapa mjini
  10. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Baada ya muda gani mtumishi wa serikali anaweza kukidhi kupata mkopo?

    Ukishapata barua yako ya kuthibitishwa kazini unaruhusiwa kukopa mzee, kuhusu kiwango tusubiri walio Soma hesabu
  11. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania NSSF Balance inasoma 0.00 ina maana gani?

    Ukiacha kazi mwenyewe Nssf hawakupi mzigo wako mzee wanataka had ufukuzwe Niliwah kuuliza nikaambiwa wafanyakazi walikua wanachungulia mzigo kule Nssf wakion mzigo mrefu wanaacha kazi wanachukua mzigo wao wanaenda kufanya mishe zao Hali hiyo ikawa ikataka kua mazoea na ikawa inahatarisha...
  12. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi date na ke/me zaidi ya mmoja wanaotumia jina moja, karibu u-share tabia zao

    Jina linasadifu yaliyomo ndani[emoji2]
  13. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Iringa for the first time in my life

    Umempa location muhim Sana Kama Ni mdau
  14. Siri ya mgoda

    JamiiForums Tanzania Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume halafu yeye hakutongozi, huwa mnafanya nini?

    Hadi Sasa Ni bila bila ngoma ngumu hii,
Back
Top Bottom