Kuoa unaruhusiwa kwasababu vitabu vya DINI vinatuambia tuwafanyie hisani watu wetu wa KARIBU... Nibora huyo mwanamke aolewe na ww kuliko akateka na mtu mwengine
NOTE. Huyo mdada akiolewa na mtu mwengine hautakuwa na mamlaka nae ya kumsaidia wala kumwangalia tena.. Swali la msingi MUOE...
Ktk biashara changamoto nilazima.
Zaid tupo ktk kipindi cha soko huria. Bidhaa ndio inayojiuza kutokana na ubora wake na sio kelele.
Wakae chini kwa pamoja watafute adui yao wakweli, Mm nadhani movies zanje sio their real enemy.
Their real enemies wanao wao wenyewe
Nafikiri BONGO MOVIES hawamjui adui yao wakweli. Wanadhani kuweka majungu na pingamizi nyingi kuhusu Movie za nje ndio watapata soko jambo ambalo sio kweli.
Wamesahau kuwa kipindi hiki ni cha soko huria bidhaa inajiuza kutokana na ubora na sio kulazimisha watu kununua bidhaa.
Kingine hata...
Kuto kusamehe kwa wanaume na kusamehe kwa wanawake kumeathiriwa na mfumo DUME uliopo kwenye jamii zetu. Mfumo DUME umedhofisha mamlaka ya wanawake na ndio maana mwanaume akifumaniwa jamii inalitaza hilo kama sio kosa. Familia hungana na kumshinikiza binti asamehe. Lakini kwa mwanaume nitofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.