Recent content by Sir robby

  1. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Mama katangaza mchakato wa katiba mpya; Tanzania yote ina furaha

    Acha ujinga wewe
  2. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Mama katangaza mchakato wa katiba mpya; Tanzania yote ina furaha

    MAMA ni Shujaa kwani Wanaume waliomtangulia Walishindwa yupo mmoja alianzisha mchakato lakini wakina Wassira Wakampotosha yupo mwingine yeye ndio Hakuitaka kabisa KATIBA MPYA
  3. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Mzee Wassira asiwemo kwenye Timu ya Katiba Mpya kwa sababu alishajiapiza bila serikali 2 hakuna Katiba Mpya

    HUYU MZEE NI MHAFIDHINA ni miongoni mwa Wazee WASIOTAKA MABADILIKO na huyu alihusika sana kuharibu RASIMU ya WARIOBA MLE BUNGENI ni bora AKAKAA PEMBENI
  4. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Hata wanasiasa wa Tanzania na wapiga kura ndivyo ilivyo

    Wadau nawasalimu, Hebu jifunze kupitia hiki KIBONZO na huu ndio UKWELI wa Maisha ya Mwanasiasa na Familia yake na Maisha ya Mpiga kura wa huyo MWANASIASA.
  5. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanaoshauri vijana wajitolee ili wapewe kipaumbele kwenye ajira, onyesheni mfano wa ninyi kujitolea kwanza!

    ZIKITOKA AJIRA WABUNGE WANATUMA VIMEMO ili WATOTO NA NDUGU ZAO WAAJIRIWE ILA WATOTO WA MASIKINI wao WAJITOLEE
  6. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Ndugu Watanzania, Ripoti ya CAG kujadiliwa imeisha wapi?au tumesahau!!!

    ITAJADILIWA NA KAMATI INAYOONGOZWA NA WABUNGE WASIO NA CHAMA hii ndio TANZANIA
  7. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Wanachama zaidi wajiondoa Chadema, Kati ya 604 waliotokea CUF wamebaki 2 tu!

    Hayati BABA wa TAIFA Aliwaita "WANASIASA MALAYA" wa Nawashauri WAENDE CCM WATAPEWA UDC na UBUNGE kwani WANATAKA VYEO
  8. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Sijajua kwanini JK alishindwa kutuletea Katiba mpya, angeacha kumbukumbu isiyofutika!

    ALITAKA MAGUFULI AILETE[emoji1787][emoji1787]
  9. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Chini ya Msambatavangu na Tulia itaichukua CHADEMA muda mrefu kurudi Iringa na Mbeya

    Wakati wa Magufuli mlisema hakuna tena RAIS atakayeleta Maendeleo kama Magufuli Leo tuna Mama SAMIA Endelea na siasa za kama Magufuli
  10. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Maoni: Bingwa wa ligi kuu acheze Shirikisho na bingwa wa Azam Cup acheze Champions League

    Shirikisho ndio mashindano sahihi kwa Yanga Miaka 88 leo ndio unacheza nusu fainali tena ya Shirikisho
  11. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Maoni: Bingwa wa ligi kuu acheze Shirikisho na bingwa wa Azam Cup acheze Champions League

    Yanga ina sifa ya kucheza Shirikisho tu
  12. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Maoni: Bingwa wa ligi kuu acheze Shirikisho na bingwa wa Azam Cup acheze Champions League

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga kucheza Shirikisho ndio halali yenu
  13. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Maoni: Bingwa wa ligi kuu acheze Shirikisho na bingwa wa Azam Cup acheze Champions League

    Hapana Jina la YANGA litapelekwa moja kwa moja kucheza SHIRIKISHO ndio SIZE yao
  14. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Maoni: Bingwa wa ligi kuu acheze Shirikisho na bingwa wa Azam Cup acheze Champions League

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga imefanya Vizuri SHIRIKISHO sio CHAMPIONS CUP kile ni Kikombe cha Wajua mpira
Back
Top Bottom