Daah shida sana kuwa kibaraka wa shetani.....yaan unajua kabisa shetani ni mwovu ila inabidi umsifie tu....tena ufanye jitihada zote angalau aonekane ni malaika......cha ajabu ukweli unabaki pale pale kuwa shetani ni shetani tu........hata ntumie nguvu kiasi gani bado yeye ni shetani tu...
Huyu msengerema nini....mmeshindwa kufata katiba sasa mnaamia kwenye Biblia.....Biblia si gazeti unajisomea somea tu.....si kila mamlaka ni ya kutii.....hata shetani ana mamlaka je naye tumtii.......aache upuuzi huyu bwana.
Kwanza jifunze lafudhi, Jina lako zuri alafu unaliharibu mwenyewe... Latifa ...ukiliita tu unaskia raha....sasa Ratifa ndo nn...jifunze kidogo kidogo kutumia R na L sawa dadangu...mfano hatuna neno Taraka tumia neno Talaka...yaan ukiweza hivyo hata huyo mpenzio ataachana na michepuko yake...
Serikali imeshasema wasio na ajira wamepungua........kwaiyo hizo ajira zikitolewa nan at a apply. Au unataka itumie gharama kutangaza ajira alafu watu wasitokee.....bora hizo hela tuendelee kufanyia manunuzi ya wanaunga Mkono juhudi za mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.