kinacholalamikiwa kwenye Noah;
1. Kujaza kupita idadi inayotakiwa
2. Uchakavu wa hizo Noah - angalia hasa seat za abiria. Trafic anakagua bodi na tairi basi!
3. Overspending wakati ni chakavu
4. Kutoza nauli zaidi ya inayokubalika
5. Lugha chafu za madereva
6. Uchache wa hizo Noah
Solution...
Habari wana bodi,
Tanzania nzima hakuna wananchi wanapata shida ya usafiri kama wananchi wa Rombo! Kuna ukiritimba gani uliopo kwenye vyombo vya usafiri Rombo? Kwanini wananchi wanateseka hivi na usafiri? Vijana wengine wameamua kutumia pikipiki zao kusafiri kutoka Moshi mjini hadi Rombo...
Mbona makasiriko? Kwani hiyo mikopo ni siri? Kuna ubaya gani hiyo miradi ikawekwa wazi kwa watanzania? Ku declare siyo uongo aweke wazi hiyo miradi maana haifanyiki mbinguni
"Tanzania haikopi fedha kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Hatujawahi kukopa fedha ili tulipe mishahara, hatujawahi kukopa ili tuendeshee magari, tulipe posho. Fedha inapotoka inakwenda kwenye mradi mahsusi." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha
Naomba waziri Mwigulu aainishe miradi ya kodi...
Watanzania wachache wanafuatilia kuhusu deni la Taifa na wamebaki na maswali mengi hasa deni hilo kupaa kutoka trilioni 50 hadi trilioni 107 kwa kipindi kifupi.
Ni vizuri serikali kupitia waziri wa fedha Dkt. Mwigulu akatoa orodha inayoonyesha taasisi zilizotukopesha, kiasi cha mkopo kwa kila...
Waziri Mkenda ameshindwa kusimamia kwenye wizara yake bodi ya mikopo HSLB imekuwa bodi ya wizi wa mishahara ya watumishi tu na wanaoibiwa siyo watoto wa vigogo ni watoto wa wakulima!
Inakuwaje mtumishi anakuta makato ya bodi ya mikopo kwenye mshahara wake wakati mtumishi huyo hajawahi kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.