Mabadiliko hayo ya kozi yamefinyika ili kuendana na mabadiliko ya sera ya elimu ya 2014 yenye marekebisho yake mwaka 2023 ambayo yamepelekea kuwepo kwa mtaala mpya katika shule za MSINGI na sekondari.zaidi ya yote swala la kukidhi matakwa ya soko la ajira husukuma taasisi za elimu ya juu kufanya...
Competence based education, juhudi ziimeonekana katika kutekeleza sera hii kwa kwa vitendo kwa ujenzi mkubwa mpya wa madarasa kwa hakika Mimi pia ni shahidi mwaka wa fedha 2021/2022 madarasa mengi yamejengwa naamini uandikishaji utaongezeka kwa asilimia kubwa kwa darasa la kwanza na hata wale...
Huyo mropakaji anasema hapa udom rahisi amtume hata mdogo wake aje apige shule apa nadhani atamhadithia vema.kama ni lelemama hata semester 2 hatoboi.vijana kila siku wanarudi nyumbani UDOM Isikie tu sio Kama unavyodhani
Wakuu msaada tafadhali mimi tayari ni mtumishi wauma naenda kujiendeleza kwa ngazi ya shahada .nimechaguliwa idol meals guy kwa kozi tajwa halo Juu.
Je, kozi hii inaweza kunisaidia kutoka kituo cha kazi kwenda halmashauri au wizarani? Ubora wa kozi hii inayotolewa udom tu ni upi?
Ushauri tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.