BA of Education in policy planing and management

BA of Education in policy planing and management

Sir kijangwa

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
82
Reaction score
40
Wakuu msaada tafadhali mimi tayari ni mtumishi wauma naenda kujiendeleza kwa ngazi ya shahada .nimechaguliwa idol meals guy kwa kozi tajwa halo Juu.

Je, kozi hii inaweza kunisaidia kutoka kituo cha kazi kwenda halmashauri au wizarani? Ubora wa kozi hii inayotolewa udom tu ni upi?

Ushauri tafadhali
 
Wakuu msaada tafadhali mimi tayari ni mtumishi wauma naenda kujiendeleza kwa ngazi ya shahada .nimechaguliwa idol meals guy kwa kozi tajwa halo Juu, je kozi hii inaweza kunisaidia kutoka kituo cha kazi kwenda halmashauri au wizarani? Ubora wa kozi hii inayotolewa udom tu ni upi? Ushauri tafadhali
Msaada please
 
Back
Top Bottom