Recent content by Sir KANICK

  1. Sir KANICK

    Zijue nchi 6 ambazo hakuna usiku, jua halizami

    Mmmmh iv nilazima kufa kwanza? Au kwa ndegetu
  2. Sir KANICK

    Zijue nchi 6 ambazo hakuna usiku, jua halizami

    Kwaiyo nikama mbingunitu? Mana tumeambiwa mbinguni Ndo hakuna mchana wala usiku, au Ndo huko?
  3. Sir KANICK

    Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

    Sauti ya mtu mmoja jasiri inasikika kwa mbali akisema "samaki nitamla mzima ila jicho siwezi kula".
  4. Sir KANICK

    Nahisi ugonjwa wa moyo unaniwinda baada ya kuachwa na mwanaume aliyenizalisha

    Sikiliza dada mambo mengine piga moyo konde endelea mbele kama kakuumiza kabla hajakuoa. Je ungemkomalia akuoe mfunge na ndoa si utateseka daima wewe chukua sadaka kamshukukuru Mungu kwa kukuepusha na tapeli utapata wa kwako, songambele.
  5. Sir KANICK

    Nahisi ugonjwa wa moyo unaniwinda baada ya kuachwa na mwanaume aliyenizalisha

    Mzee wewe ndio mbwa peke yako wengine tuna akili zetu, huwezi ku generalize wanaume wote kwenye mambo ya hovyo, wewe mpe dada ushauri wa maana afanyeje sio comment za ovyo
  6. Sir KANICK

    Kitendo cha Simba SC kumtelekeza Fraga ni cha kinyama sana

    watu wengine muwege na akili timamu mnajitia mnahuruma na upande msio upenda, mbona Tshishmbi alikuwa team capten wenu baada ya kujeruhika goti mkamuacha akarud congo huku mkimdhihaki kuwa goti lake limeoza, acha unafiki wewe ndio maana Manara amewaambia msiende kutupigia kelele kule mbaki...
  7. Sir KANICK

    Simba yasajili kiungo mkabaji, ni Taddeo Lwanga raia wa Uganda

    Brother mbona maelezo marefu sana wew ni upande wa pili au, mana kuna wenzako wakisikia jina okwi wanapatwa na homa ya kuendesha, mim najua gap lililokuepo ni la kiungo mkabaji na kushambulia apo apo achukue mikoba ya Gerson Fragha so kumtaja okwi nilikuwa nasababu zangu kuna viumbe nawatafuta...
  8. Sir KANICK

    Simba yasajili kiungo mkabaji, ni Taddeo Lwanga raia wa Uganda

    Tunataka okwi mganda sio kila mganda tunampenda
  9. Sir KANICK

    Mwanza: Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge

    Visababu vingine Bwana, kama vya kitotototo flani hivi ila MUNGU ajuaye mioyo yetu ajua na kuzichunguza nia zetu, Tena siku mtu akifa matendo yake yatafuatana naye. Haya ndio wanayolipwa wananchi waliokesha kujipatia vitambulisho vya kupigia kura, wakashinda njaa kwenye foleni kumchagua leo hii...
  10. Sir KANICK

    Sheria Mbovu: Benki ya Dunia ‘yazuia’ zaidi ya Bilioni 112 kwa Tanzania

    Nafsi ya mtu haini hula jeuri yake!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????????????????????????????????????.
  11. Sir KANICK

    Uchumi wetu unakua kwa 7%? Uchambuzi wa viashiria (indicators) unaonyesha GDP inakua kwa 2%-3% tu- Zitto Kabwe

    Siku zote uongo hupendwa zaidi kuliko ukweli but hata kama ukweli huo utapita sehemu nyembamba mithili ya uzi wa kushonea nguo huchanua na kustawi mara dufu, Tena kwa wale waaminio hata njia ya kuendea uzimani ni nyembamba sana kuliko ile iyendayo hukumuni.
Back
Top Bottom