Recent content by sipson

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Magufuli atinga uwanjani ghafla kwenye mechi kati ya Buhongwa vs Nyamwaga

    Hivyo ni kujiweka na jamii?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Magufuli atinga uwanjani ghafla kwenye mechi kati ya Buhongwa vs Nyamwaga

    Msije mkajinyonga nyie tuu mafic em, vipi hajiamini? C mumemchagua na kashinda Wa wanyonge? Hatukuyaona kwa watangulizi kulikoni[emoji468]
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la Kubenea kuhusu kukamatwa kwa Meya wa Ubungo Boniface

    Enough is enough hebu tuamke huo usingizi Wa kuzimu uishe jamani looo
  4. S

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

    Funika kombe mwanaharamu apite hao walipataje deal bila ya wahusika Wakuu Wa serikali? Miungu mtu isitajwe ila vidagaa chambo kwa ushauri ni vizury waachane na yaliyopita tu gange yajayo ila kwa sharti la kuikubali katiba ya mzee Warioba dismissed case Sent from my SM-G800F using JamiiForums...
  5. S

    JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Prof. John L. Thornton

    Hao wazungu wamekubali ki laini km wananawa vile? Cjui kwa watz lkn kimataifa mcfanye watu majuha
  6. S

    JamiiForums Tanzania Lissu tambua unaishi katika Taifa ambalo wengi wana mitazamo ya aina hii

    Kiukweli umesema haswa yaliopo na yanayoendelea ktk hiyo inch ya wagigikoko onauma sana ila tukiwa kwenye sala zetu naomba tumuombee mh lissu na wenzake wote wanaoitetea nchi yetu Tz Mungu awalinde na maadui lkn kuna kazi c mchezo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kutoandika Habari za Paul Makonda Mauzo ya magazeti yameshuka ghafla

    Nadhani yameshuka kwa wao kujipendekeza kwa ccm
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kutoandika Habari za Paul Makonda Mauzo ya magazeti yameshuka ghafla

    Eti mauzo yameshuka kwa lipi ? Au wamtafutia kk
  9. S

    JamiiForums Tanzania Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Nidhamu ya woga tuuuu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri bungeni - April 04, 2017: Mama Salma Kikwete aapa kuwa Mbunge, Kikwete ashangiliwa...

    Kusema u kweli ndio kutukana?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

    Mtasubir sana akatae, kisha hiyo ni kumdhibiti Zitto alishaonekana anashirikiana na Ukawa ngoja tuone movie ikiendelea tuko break ss mbona mengi yatakuwaja
  12. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara na Mshauri Mkuu wa Chama Pinzani

    Mmh imekaaje hiyo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

    Dubai haijengwi cku moja kila cku wanaijenga tangu nianze kupikia transit dubai hawajamaliza bhana
Back
Top Bottom