Iko under Ministry of Finance,Nimeshawatumia kwenye email zao na attachment za ushahidi maana waliziomba juzi nategemea watalipua pindi nafasi ikipatikana,Nimewatumia wakali wote wa pale mjengoni bila kujali itikadi zao za vyama
Wanajua na wanatembea na nakala(hardcopy) kila waendapo na wakikumbuka wanazisoma hadi muda wa lunch, kama dozi 5*5 kwa siku.Vitisho ndiyo vimezidi hapa kazini japo pia nguo zemewalegea kiaina,Ila mmoja alisikika akisema kuwa TAKUKURU & USALAMA WA TAIFA kaikamata labda aje Slaa hapo
Ni Tanzania hapahapa na baada ya kupata taarifa wanachimba watu mkwara eti watampanishi aliyeandika hapa, nahisi hawajasoma jina langu hapo juu, narudia kuwa ''SIOGOPI'' na ninayo mengi ya kumwaga hapa jamvini hasa kuhusu hii GPSA, Ngoja waendelee kusumbua watu na hamisha hamisha zao za...
GPSA-Government Procurement Service Agency;Wakala wa huduma ya Manunuzi ya serikali,
Makao makuu yako hapa Dar es salaam maarufu kama Bohari, hapa ofisini kuna uchafu wa hali ya juu maana wakubwa wamekuwa wakiishi kama wafalme wakati wafanyakazi wa kawaida wakiwa na hali duni SANA.
Hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.