Recent content by sinzaboy

  1. S

    Simba yaifunga KMC kwa magoli 2 -1 uwanja wa CCM Kirumba

    Dahh nimecheka sanaaa..eti ingekuwa yangambiwa pia usingefurahii??? Hahahahahhh ahahahahahhahah umepanik broo ruksa👍
  2. S

    Alliance Fc(watoto wa umiseta) Vs Simba SC( Timu iliyocheza Klabu bingwa Africa)

    Safi sana nimeipenda hii app uyu dereva daladala alikuwa anazingua sana
  3. S

    Alliance Fc(watoto wa umiseta) Vs Simba SC( Timu iliyocheza Klabu bingwa Africa)

    Ubaki hadi mwisho tukupatie kadi👍
  4. S

    Alliance Fc(watoto wa umiseta) Vs Simba SC( Timu iliyocheza Klabu bingwa Africa)

    Bwana wee uyu dereva cjui yangambiwa? Miziki tu kaweka ya flash
  5. S

    Njoo nikupatie FIFA 2019

    Hii imetulia sana👍👍 Naomba kujua specs za PC yako ili nijue kama nikutafute au nianze upgrading kwanza kama hautojali mku..
  6. S

    Pesa ya kutolea (Mobile Money Account) inapaswa kuwa calculated automatically na system. Telecom Engineers ongezeni ubunifu.

    Haka mi naona ni kama kauvivu flani ulikonako mkuu. Samahani kwa kuanza ivyo ila sio kila mara utalazimika utoke ndani uende kwa wakala.. Si unapiga picha tu mabango yote pale tigo voda airtel halotel unasevu kwenye simu? Ukitaka kutuma unacheki gharama yake unaongezea hapo. Picha 4 tu izo...
  7. S

    Tairi za gari ndogo 175/70R14

    Pamoja Mkuu..bado kuna watu wataendelea kushangaa 2007 mpya kivipi..😅😅😅🙌🙌
  8. S

    Tairi za gari ndogo 175/70R14

    Hiyo picha ni ya mfano mkuu.. Mdau kajitolea kumwelimisha mtoa mada jinsi ya kupata mwaka tairi ilipotengenezwa. Maana mtoa mada alikuwa hajui ila sasa amejua na tairi zimeshauzwa saivi kapandishia ist. Shukran sana mdau.
  9. S

    Nakodisha sehemu biashara bure miezi 4

    Watu kama nyie mpo wala sishangai mtazamo wako utakapoona wewe ni risk wenzako wataona opportunity. Nna uhakika iyo sehemu ungeletwa miaka 10 ungebisha ata lami / umeme kama vingefika. Kama ingekuwa ivyo maeneo mengi hapa mjini yangekuwa stagnant mpaka leo. So thank you for pointing out the...
  10. S

    Nakodisha sehemu biashara bure miezi 4

    Nimefanikiwa kutumiwa picha na video eneo la tukio. Quality ya picha imejitahidi. Tafadhali angalia eneo kama litakupendeza na una idea yako nzuri karibu tuyajenge .
  11. S

    Nakodisha sehemu biashara bure miezi 4

    Kuna nyumba moja kubwa ina vyumba 4 vyote self contained nakodisha kodi ya chumba 50,000 kwa mwezi. Tayari vyumba viwili vimechukuliwa bado viwili natafuta wateja. Nyumba ya pili haijamalizika ina vyumba 3 nategemea kukodisha kwa ajili ya fremu / duka / chumba. Na eneo la wazi kwa biashara...
  12. S

    Nakodisha sehemu biashara bure miezi 4

    Kabisa mkuu maana yangu ni kupata mtu wa kupaendeleza kibiashara ili pawe active..tena nipate mtu mwenye ujuzi wa kuendeleza biashara maana huu sio muda wa kufanya vitu kwa kujaribu mkuu. Kwa maono yangu panafaa biashara za . Matofali . Kuosha magari . Baa / Kuonyesha mpira . Duka la spea za...
  13. S

    Nakodisha sehemu biashara bure miezi 4

    Sipo eneo la tukio nimetuma ombi anipigie aliyepo eneo atume niziweke jamvini
Back
Top Bottom