Recent content by sinza kwetu

  1. sinza kwetu

    Kauli tata ya Mbowe, Lissu kupoteza ubunge

    Mbowe anajua mwenye makosa ni Lissu kwa ukaidi wa kutopeleka official information ofisi ya spika na anaonekana anazulula marekani.
  2. sinza kwetu

    Nisaidieni.. Namna ya kumtokea msichana DM kwenye Insta na Twitter

    Wanawake wanapenda pesa inawezekana, lakini sio kwa style hii. Yeye ni dada fulani anajiheshimu.
  3. sinza kwetu

    Nisaidieni.. Namna ya kumtokea msichana DM kwenye Insta na Twitter

    Soma elewa basi kwanza, ndio utafute kiki
  4. sinza kwetu

    Nisaidieni.. Namna ya kumtokea msichana DM kwenye Insta na Twitter

    Sasa from nowhere nianze mambo ya miamala mbona ndio nitaaribu kabisa
  5. sinza kwetu

    Nisaidieni.. Namna ya kumtokea msichana DM kwenye Insta na Twitter

    Kuna msichana nimemuona Instagram baadae kumfatilia nikaona pia ana account twitter. Kiukweli ametokea kunivutia sana nahisi ndio msichana wa ndoto yangu. Nimeshamfollow lakini yeye hajanifolow back. Ndugu zangu naomba mnisaidie mbinu gani nizitumie kumsogeza karibu hili niweze kumueleza...
  6. sinza kwetu

    Rai kwa vyama vya upinzani Tanzania: Daini Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2020!

    Upinzani wa nchi hii sio rizki...Ndio maana wajanja kina mbowe na maalim wataendelea kuwaadaa maisha yote. 'Mpendwa wetu anaendelea vizuri sana, amefanyiwa opareshen ya 14, atafanyiwa upasuaji mwingine wa 15 ni critical but stable wapuuzeni waliomwona na kusema kakata kauli mimi ndio nasema...
  7. sinza kwetu

    Yasinta Massawe aweka rekodi ya mchango kwa Tundu Lissu

    Mbowe: Lissu amefanyiwa upasuaji mara 14
  8. sinza kwetu

    Yasinta Massawe aweka rekodi ya mchango kwa Tundu Lissu

    Na wajanja wanatafuna hizo pesa.. story yao ile ile mpendwa wetu anaendelea vizuri, anatarajia kufanyiwa upasuaji mwingine wa kumi na tano atarudi salama... Upasuaji wa kumi na tano alafu anaendelea vzr bado hamjiongezi tu? maybe
  9. sinza kwetu

    IGP Sirro: Mjadala wa Tundu Lissu kupigwa risasi ufungwe mara moja

    Lissu anasubiriwa upasuaji wa 11 na mbowe anasema hali yake imeimarika.. akili kichwani mwako
  10. sinza kwetu

    Baba Muhadhama Kadinali Pengo usitupeleke huko unakotaka kutupeleka

    Hajampangia aongee nini katoa ufafanuzi na upotoshaji kwamba kanisa limetamka kumbe ni mtazamo wa muumini mmoja. Ata Pengo maneno yake kasema ni mtazamo wake binafsi.
  11. sinza kwetu

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    Ata wewe Mbowe kaona hauna faida. RIP mwanaharakati wa kweli
Back
Top Bottom