Recent content by sinunuliki

  1. S

    JamiiForums Tanzania Neema kwa wafanyakazi yatangazwa na Rais Magufuli

    Hiyo ni kweli hata mimi nakatwa 30% kuna formula ya ajabu wanaitumia ukitaka tutaiweka hapa na hilo punguzo halitatuhusu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wafanyakazi wamepata ahueni ki maisha?

    Hivyo kwa mantiki hiyo kodi ya mshahara iliyopungua itamnufaisha mfanyakaz Mdogo ila wa kati na wa juu hali ni ile ile
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wafanyakazi wamepata ahueni ki maisha?

    Chukua mshahara wako toa social funds mfano mshahara n 860,000-43000= 817,000 baada ya hapo rudi kwenye viwango vilivyowekwa na TRA ktk hiyo chart ya juu namba tano( v) kwa mshahara wa 860,000 basic ndo utaangukia hapo chukua 860,000-720,000 utapata elfu 97,000 pigia asilimia 30 ya elfu 97,000...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ameamua tuachane

    Anza maisha yako mapya kamanda kama akifa Leo maisha yako yataendelea hayawez kuishia kwa kuwa yeye amekufa, anza upya jenga maisha yako mshitikishe Mungu na pigana kiume umlee mwanano huyo mwanamke hakufai tayar ana maisha yake mapya atakuumiza zaidi ukiendelea kumng'ang'ania
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa atazidi kukatwa

    unaanzisha uzi wa kipuuz afu unachangia mwenyewe kwel we gamba
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe kweli Lowassa hafahamu matatizo ya Watanzania.

    hotuba ya mheshimiwa ipo vizur sana, Mungu ibarik Tanzania we beleve we can fly
Back
Top Bottom