Eng.Livingstone
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 880
- 227
Sitawachagua wagombea viti mbalimbali wa ccm maana hakuna la maana watakalo lifanya tofauti na kuwapa wachina gesi kwa sababu ya fidia ya dogo Riz1 ya kukamatwa na madawa na kukwepa kunyongwa.
Ni zaidi ya kukatwa,wanainchi watamkata zaidi
Ikumbukwe CCM ilimktata 1995, Amekatwa tena mwka 2015 na atakatwa tena October 25, Kama alivokuwa akiwakata Wengine. Muosha Huoshwa! Tulia Uoshwe.
unaanzisha uzi wa kipuuz afu unachangia mwenyewe kwel we gamba