Recent content by Singoi

  1. Singoi

    Udhalilishaji kwa wanaume mbona haupigiwi kelele?

    Yaani kunyandua mke wa mtu sio kosa kisheria hilo limekaa je. Wansheria wetu husikeni hapa kutujuza
  2. Singoi

    Familia ya mchungaji Obedi Kimati inavurugana kisa mashamba aliyoacha baba Yao

    Hayo ndio maisha yako ya ulozi namadhababu Yako ya macho na usitishe watuna kiburi Cha pesa kinakutia upofu wa fahamu
  3. Singoi

    Familia ya mchungaji Obedi Kimati inavurugana kisa mashamba aliyoacha baba Yao

    Mkubwa mmoja kajitawalisha Mali hizo za marehemu aligombana na mdogo wake .mwaka2017 mpaka dogo kakata moto.sasa huyu mwingine naye anashughulikiwa kweli kweli mpaka aKate moto mwombeeni Wana jamiii amewashiwa moto kwelikweli
  4. Singoi

    Familia ya mchungaji Obedi Kimati inavurugana kisa mashamba aliyoacha baba Yao

    Vita bado ni Kali ni vurugu tupu elimu ndogo na hakuna upendo tena ndugu Kwa ndugu soon matokeo
  5. Singoi

    Nabii Tito: Mimi nimezaliwa nikiwa Hanisi na Mke wangu ni Bikra

    Nitatizo mmmh sio dish limeyumba
  6. Singoi

    Basi gani la mkoani ulipanda ukajutia?

    Saibaba ni shida
  7. Singoi

    Familia ya mchungaji Obedi Kimati inavurugana kisa mashamba aliyoacha baba Yao

    Familia ya mchungaji Obedi kimati inavurugana kisa mashamba alio acha baba Yao baada ya kufariki wameshindwa kugawana kutokana na tamaa ya mkubwa mmoja kuyatawala yye peke yake na kutotaka wengine wadogo wapate mashamba hayo, jambo la hatari hili Kwa mtazamo wakawaida
  8. Singoi

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    risasi ni kitu kibaya sana
  9. Singoi

    Yanga mnaudhi aisee, inakuwaje jezi zenu hazina majina?

    chura churani poleni o_Oo_Oo_Oo_Oo_Oo_Oo_O
Back
Top Bottom