Habar za wakati huu ndugu wanajukwaa,sote tunafaham hali iliyopo kwenye jamii yetu ya Kitanzania na Duniani kote
Wapo ndugu zetu,jamaa zetu,wadogo zetu,kaka zetu,Mama zetu,jirani zetu,wajomba zetu na ndugu wengine wanaoishi na maambukizi ya VVU
LENGO LA THREAD HII;nimeamua kuanzisha movement ya...